Boxer ni 3,300,000. Akiwa makini anatoboa. Nina mfano hai wa mtu anajishughulisha na hii kitu kwa ukubwa. Yeye huwa anachukua boda hata 10 kwa pamoja na yuko wealth kinoma. Ila shida ni bandidu hatari.Bodaboda moja ni sh ngapi mzee baba???
Kalio linakuwasha?Pakatwa na trab
Mshikaji wangu aliingia kwenye hii biashara ila haikumpa faida kama hesabu za makaratasi zinavyosema , yeye aliweka Elfu nane kwa siku lakini bado ikawa changamoto kwa baadhi ya madereva , hii biashara kuna maeneo yake sio yote na uoate watu waaminifu na hapo ndio kashesheNunua bodaboda 10 uwape vijana wakuchumie hela, boda moja kwa siku 12,000 tzs kumi ni 120,000.
Kwa mwezi ni 3,600,000 tzs. Yaani utakua na uwezo wa kuongeza boda mpya kila mwezi mpaka uwezo wako wa kuzi control utakaposhindwa.
Amen kila lakheri kwake
Hahaha hapana bnMmeuza nyumba ya urithi ? Au unastaafu.
Nafaka, hardware. Mbao havina risk kubwa.
Duka la vifaa vya pikipiki la jumla jumla.
Nunua canter endesha mwenyewe.
Uzi wako umechangia wengi kupata ideas za nini cha kufanya wakipata fedha mbeleni. Pokea maua yako.Habari, mwezi ujao naenda kupata milioni 30. Vijana wenzangu naombeni ushauri ili nisije kujuta baadae maana hela sasa hivi sina. Na hiyo hela sidhani kama nitaipata tena kama.
Naombeni ushauri kama ungekuwa wewe ungefanyaje.
Nina mke na watoto 3
Zina Tittle deedUnitafute nikuuzie shamba zuri kigamboni mwasonga karibu na stend ...uje na 12m heka 2
Hati ya serikali ya mtaaZina Tittle deed
Hiyo itupie aviator ikienda x3 tu, una 90M ndani ya sekunde tu, nankuna wakati inaenda hadi x700 sasa hapo zidisha 700 x 30,000,000 🤣🤣🤣 ........ni vip kama ikiwa kweli!Habari, mwezi ujao naenda kupata milioni 30. Vijana wenzangu naombeni ushauri ili nisije kujuta baadae maana hela sasa hivi sina. Na hiyo hela sidhani kama nitaipata tena kama.
Naombeni ushauri kama ungekuwa wewe ungefanyaje.
Nina mke na watoto 3
🤣🤣🤣Hiyo itupie aviator ikienda x3 tu, una 90M ndani ya sekunde tu, nankuna wakati inaenda hadi x700 sasa hapo zidisha 700 x 30,000,000 🤣🤣🤣 ........ni vip kama ikiwa kweli!