Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Sawa nakubaliana na wewe, swali ni kuwa maana yako nini? Kama hauna nia ya kutoa msaada wowote ule ni kwa nini uandike namna unavyo pata pesa wakati huo huo huna nia ya kumuelekeza mtu vile unafanya? Kwa nini usikae kimya tu yaani ukasoma kisha ukala kona maana huna msaada wowote na hauko tayari kutoa, sasa kwa nini utoe maelezo mengi vile unaingiza pesa!
Unataka kumtamanisha ama kutamanisha watu ili iweje? Kuna harufu ya utapeli hapa
Unataka kumtamanisha ama kutamanisha watu ili iweje? Kuna harufu ya utapeli hapa
#No malice to anybody. If you don't understand what that means then better style up.