Mwezi wa pili wa juhudi ya kupunguza uzito wa mwili; umegoma kuleta matokeo. Tatizo ni nini?

Pole ya nini mkuu siumwi ni hiari sio tatizo kubwa kivile, lakini na karibisha ushauri kwasbb na mimi siku moja natamani niwe na 65kg atleast.
Saa hivi una kilo ngapi?
 
Acha kujitesa kula vizuri alafu vuta bhange nyingi unarudi kwenye mwili wako soon
 
Heheheee! Usithubutu kuongeza mwili kwa style yoyote ile, wembamba sio adhabu, sio kilema wala sio ugonjwa. Mimi nilikuwa mwembamba hadi watu wananitania chikondemu ila sasa ninamwili hadi natamani wembamba wangu, unene ni mateso mzee
Fufacts kila mtu anatamani asicho nacho ila ukweli unene/wembamba uliopitiliza ni changomoto.

Kama ana shida ya kuwa mnene the only and best way ni chakula
 
Unataka kuzalisha tatizo la mfumo wa mkojo maji yote hayo sio kama ana overload mfumo wa mwili.
 
Ndiyo mara yangu ya kwanza kusoma comment ya Faiza ambayo haihusishi Uislamu ndanimwe!

Leo nakwenda kupiga bia na kushushia na kitimoto wallaqi! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Acha uchokozi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha kujitesa kula vizuri alafu vuta bhange nyingi unarudi kwenye mwili wako soon
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]baghi tena
 
Pamoja na ushauri uliotolewa hapa, nashauri kutenga muda wa mazoezi ya viungo hata ya kutembea.

Unaweza kununua baiskeli ukawa unaendesha walau kwa wiki mara mbili, ama hata kwenda Gym
 
Pamoja na ushauri uliotolewa hapa, nashauri kutenga muda wa mazoezi ya viungo hata ya kutembea.

Unaweza kununua baiskeli ukawa unaendesha walau kwa wiki mara mbili, ama hata kwenda Gym
Mimi mazoezi nao weza ni kutembea tu au kunyanyua vyuma, kukimbia siwezi mapigo ya mwoyo yanaenda kwa kasi sana mpaka nisimame kwanza kupoa mwili wangu hauhitaji mazoezi kama hayo ya kuendesha basikeli kukimbia nk tangu niko mdogo
 
Unafanya mazoezi gani?Pia kama ulivyomjibu hapo Grahams kuwa hupendi kufanya mazoezi yanayosababisha moyo kwenda mbio,iko hivi mkuu ili mafuta yaliomo kwenye mwili yaugue ni lazima mzunguko wako wa damu uwe mkubwa,na ili uwe mkubwa ni lazima moyo ufanye kazi kwanguvu ili usukume damu iende kwa speed ya juu,sasa kama unafanya mazoezi ya low intensity itakuchukuwa muda sana kupata matokeo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…