malisak
JF-Expert Member
- Mar 16, 2006
- 694
- 775
Wanga pia usikosekane kabisa unatumia kidogo anagalau mara 2 kwa wikiMkuu wewe wajua vyakula visio kua na wanga kabisa unitajia ili niweze kuvitumie hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanga pia usikosekane kabisa unatumia kidogo anagalau mara 2 kwa wikiMkuu wewe wajua vyakula visio kua na wanga kabisa unitajia ili niweze kuvitumie hivyo.
Saa hivi una kilo ngapi?Pole ya nini mkuu siumwi ni hiari sio tatizo kubwa kivile, lakini na karibisha ushauri kwasbb na mimi siku moja natamani niwe na 65kg atleast.
Acha kujitesa kula vizuri alafu vuta bhange nyingi unarudi kwenye mwili wako soonKama nilio anza juhudi zangu za kupunguza uzito, huu ni mwezi wapili kwa kutumia mfumo ule ule wa kula mlo moja mboga za majani sana na kuepuka vyakula vyenye wanga sana kama chapati ugali na chapati. Mwezi wa kwanza matokeo yali patikana kwa kupungua 8kg.
Kwa kuendelea na utaratibu huo huo mwezi wa pili nimepima leo matokeo ni kwamba ni mepungua 0.5kg nusu kg tatizo ni nini? Mwili umezoea huo mfumo kuna haja ya kubadili diet au mfumo na mda wa kula?
Target yangu ni kumpungua 20kg ndani ya mwezi mitatu ila naona mwezi wa pili nimepunguza nusu kilo tu, na bado nimebakiza mwezi moja. Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!
Fufacts kila mtu anatamani asicho nacho ila ukweli unene/wembamba uliopitiliza ni changomoto.Heheheee! Usithubutu kuongeza mwili kwa style yoyote ile, wembamba sio adhabu, sio kilema wala sio ugonjwa. Mimi nilikuwa mwembamba hadi watu wananitania chikondemu ila sasa ninamwili hadi natamani wembamba wangu, unene ni mateso mzee
Unataka kuzalisha tatizo la mfumo wa mkojo maji yote hayo sio kama ana overload mfumo wa mwili.Kinywa maji yam moto, yachemshe kama ya chai lakini usitie kitu, maji tu.
Kabla hujala kitu hakikisha unapata lita moja, kianzia hapo mpaka inapofika saaza chakula cha mchana, hakikisha umeshapiga lita nyingine moja. Baadaya chakula cha mchana piga lita mpoja. Baada ya chakula cha usiku, kabla hujalala hakikisha lita nyingine moja.
Usinywe tena maji ya baribi, fanya maji ya moto ndiyo maji yako. Utakojowa kwa wingi na unene utakutoka tu, na maradhi mengine yoyote yataondoka. Inaitwa "hot water therapy".
Stress hazikondeshi trust me. Kinachokondesha ni chakula.Tengeneza matukio yatakoyo kuletea stress, (changamoto), haya yako mengi sana
94kg ila target ni 85 two month back 104kg.Saa hivi una kilo ngapi?
Acha uchokozi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo mara yangu ya kwanza kusoma comment ya Faiza ambayo haihusishi Uislamu ndanimwe!
Leo nakwenda kupiga bia na kushushia na kitimoto wallaqi! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]baghi tenaAcha kujitesa kula vizuri alafu vuta bhange nyingi unarudi kwenye mwili wako soon
Mkuu kazana nina ndugu yangu ana kilo hizohizo kila siku analalamika miguu.94kg ila target ni 85 two month back 104kg.
Mimi sina shida ya miguu au pressure ni kuchukua tu tahadhari incaseMkuu kazana nina ndugu yangu ana kilo hizohizo kila siku analalamika miguu.
Mimi mazoezi nao weza ni kutembea tu au kunyanyua vyuma, kukimbia siwezi mapigo ya mwoyo yanaenda kwa kasi sana mpaka nisimame kwanza kupoa mwili wangu hauhitaji mazoezi kama hayo ya kuendesha basikeli kukimbia nk tangu niko mdogoPamoja na ushauri uliotolewa hapa, nashauri kutenga muda wa mazoezi ya viungo hata ya kutembea.
Unaweza kununua baiskeli ukawa unaendesha walau kwa wiki mara mbili, ama hata kwenda Gym