Wanakutana na Wanigeria kwenye Club bingwa Africa (1st Leg/2nd Leg) 10-12 September / 17-19 September 2021-WATATOLEWA
Wanakutana na SImba Ngao ya Hisani- WATAFUNGWA
Unadhani nani atakuwa wa kwanza kuchinjiwa baharini?,
Kwa kuwa bado GSM anaendelea kuwa na nguvu na bado anataka kuendelea kutetea maslahi yake kupitia biashara zake za kuuza "merchandise za Club' basi yeye na 'chawa' wake i.e Manara,Eng Heri Said na wegine wachache watabaki salama (kwa mda) ..
Kimbembe ni kwa Mwenyekiti wa Club au Kocha wao hao hakika hawatabaki salama,...na hapo mtifuano ndipo utakapoanzia.....