Mwezi wa tisa utakuwa ni mwezi wa balaa na mtifuano ndani ya Club ya Yanga

Mwezi wa tisa utakuwa ni mwezi wa balaa na mtifuano ndani ya Club ya Yanga

umeingia App?au amsha amsha kwako unataka uone watu wanaandana barabara. Kule app post moja comments above 1.2k
Kwny digital hawatuwezagi hawa, Magori amesema app imeingiza 15m per hour wakati uto mwaka mzima 100m.
 
Hahaha naona mmemuajiri kigogo awasaidie kupambana na Manara.Pale atatoka mweupe

Sisi tunapambana uwanjani,hayo maneno ya kiswahili tunawaachieni nyie ,si mmeona sasa hivi mmeshapeana na majina ya Misukule
 
Hawatakuelewa sasa.Ila kufikia October watakuwa wameshasalimu amri.
Karibia msimu wa kulaumu marefa, washika vibendera, tff na bodi ya ligi, Simba unaanza. Muda utasema.

Kila mtu atashinda mechi zake.

Kwa wale MISUKULE uwanja umehamia mdomoni. Km kawaida yao.
 
Yanga tunayoujua sisi bado haijaanza
 
Back
Top Bottom