Noted.Wanakutana na Wanigeria kwenye Club bingwa Africa (1st Leg/2nd Leg) 10-12 September / 17-19 September 2021-WATATOLEWA
Wanakutana na SImba Ngao ya Hisani- WATAFUNGWA
Unadhani nani atakuwa wa kwanza kuchinjiwa baharini?,Kwa kuwa bado GSM anaendelea kuwa na nguvu na bado anataka kuendelea kutetea maslahi yake kupitia biashara zake za kuuza "merchandise za Club' basi yeye na 'chawa' wake i.e Manara,Eng Heri Said na wegine wachache watabaki salama (kwa mda) ..Kimbembe ni kwa Mwenyekiti wa Club au Kocha wao hao hakika hawatabaki salama,...na hapo mtifuano ndipo utakapoanzia.....
Huna unalolijua kaa kimya chief[emoji122]Wanakutana na Wanigeria kwenye Club bingwa Africa (1st Leg/2nd Leg) 10-12 September / 17-19 September 2021-WATATOLEWA
Wanakutana na SImba Ngao ya Hisani- WATAFUNGWA
Unadhani nani atakuwa wa kwanza kuchinjiwa baharini?,Kwa kuwa bado GSM anaendelea kuwa na nguvu na bado anataka kuendelea kutetea maslahi yake kupitia biashara zake za kuuza "merchandise za Club' basi yeye na 'chawa' wake i.e Manara,Eng Heri Said na wegine wachache watabaki salama (kwa mda) ..Kimbembe ni kwa Mwenyekiti wa Club au Kocha wao hao hakika hawatabaki salama,...na hapo mtifuano ndipo utakapoanzia.....
nyinyi pia mnasahau mmeingia kwa mbelekoM-Nigeria alifuzu kwa mbeleko yule tunapiga 7.
Umempa za usonyinyi pia mnasahau mmeingia kwa mbeleko
Dogo alieandika uzi ni mpuuzi sana.Acha uchawi wewe
Bold kabsa hahahahaaHuu Msimu Utakuwa Mgumu Sana Kwa Simba Na Mashabiki Wake [emoji23]
Wewe kutwa nzima jana umeshinda chooni unaharisha ndiyo maana imekupitaUjue Manara ana nguvu.Yaan App imezinduliwa kimyakmya hamna amsha amsha