Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kkkkkkkk mkuu bado upo mbali sana dah hao ukali wao umepotea kitambo kwenye gameMi zaidi ya Mitun, Amita, na Govinda....sijui kabisa hao wengine.
Nina miaka sijatizama hizo muvi.
Na kwao mkorogo jambo la kawaida..Wakati largest population ya india ni weusi zaidi yangu na wewe...weupe ni upande wa kaskazini tu tena kwenye jimbo moja tu la Gujarat...ni weupe na exclusive,ni wachache mno.
India is a black country just like sub saharan africa,not less.
Mkuu nakuunga mkono yaan wahind ni wapuuz kweli kuna kihindi kimoja tulikutana ka nchi flani hivi ka watu weupe cha ajabu yule mhindi pamoja na weusi wake kunishinda akiwaona wale weupe alikuwa akinishusha hadhi na kujiona yeye ni bora yaan nikikuwa nacheka sanaNenda na hizo tathmini zako India ukirudi niletee majibu
Wazungu usiwajudge kwa juu. Anaweza kuwa si rzki wadada wakaishia stroke kama walivyompenda Maiko Scofili.dah jamaaa mkali sana atatumalizia warembo wetu wahindi wana target kali sana na masoko yao ya bolywood
John Abraham ameoa mkuu mwaka 2014 mkewe anaitwa Priya bado hajapata mtoto na ameongelea swala hilo kuwa bado hawajaplan kupata mtoto na mkewe coz bado anafanya production ktk film.Wazungu usiwajudge kwa juu. Anaweza kuwa si rzki wadada wakaishia stroke kama walivyompenda Maiko Scofili.
priya yupi?? Au unamaanisha priyanka chopraJohn Abraham ameoa mkuu mwaka 2014 mkewe anaitwa Priya bado hajapata mtoto na ameongelea swala hilo kuwa bado hawajaplan kupata mtoto na mkewe coz bado anafanya production ktk film.
Fans wa John Abraham tunaamini katika ndoa hayo wanayofanya chumbani na mkewe kama ni rizki au si rizki hiyo itakuwa siri yao ya mke na mume. Tunaamini katika ndoa ndo heshma na thamani yake.
Kazi zake ni nzuri sana katika action muvies na romantic ni moto wa kuotea mbali. Tukipata msanii japo mmoja Tz kama huyu tasnia ya bongo movie itakwenda mbali sana esp. Gabo Zigamba
Yupo na mm nmemuoasasa hivi katrina yupo na nan?? alaf nilisikia aliolewa yule
Hapana..mkewe anaitwa Priya Runchal wa USApriya yupi?? Au unamaanisha priyanka chopra
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupo na mm nmemuoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Six pack ipo poa.Muigizaji machachali wa sinema za kihindi za mapigano pamoja na mapenzi John Abraham atangaza kuwa anatarajia kuja nchini mwakani kwa ajili ya kucheza baadhi ya vipande katika movie mpya inayotarajiwa kuingia sokoni mwanzoni mwa mwaka 2018
Kazi imebaki kwa wasanii wetu wa Tanzania kutumia nafasi hii adimu kujitangaza kimataifa
View attachment 395634
View attachment 395635
View attachment 395636
View attachment 395637
Bora mkuu yuko asilia. Nawaogopa asje kuwa Elton Joni, Timi Cuuk, Mikaeli Scofili wa Prison break.John Abraham ameoa mkuu mwaka 2014 mkewe anaitwa Priya bado hajapata mtoto na ameongelea swala hilo kuwa bado hawajaplan kupata mtoto na mkewe coz bado anafanya production ktk film.
Fans wa John Abraham tunaamini katika ndoa hayo wanayofanya chumbani na mkewe kama ni rizki au si rizki hiyo itakuwa siri yao ya mke na mume. Tunaamini katika ndoa ndo heshma na thamani yake.
Kazi zake ni nzuri sana katika action muvies na romantic ni moto wa kuotea mbali. Tukipata msanii japo mmoja Tz kama huyu tasnia ya bongo movie itakwenda mbali sana esp. Gabo Zigamba
apo kama nawaona watoto flan iv kawaida yao kupokea wasanii wagen..dah jamaaa mkali sana atatumalizia warembo wetu wahindi wana target kali sana na masoko yao ya bolywood
Aya bana Mrs KamikazeJamani mi hivyo vifua vitaniuaaaa lo