Mwigizaji Nguli wa India John Abraham kuwasili Tanzania

Wakati largest population ya india ni weusi zaidi yangu na wewe...weupe ni upande wa kaskazini tu tena kwenye jimbo moja tu la Gujarat...ni weupe na exclusive,ni wachache mno.

India is a black country just like sub saharan africa,not less.
Na kwao mkorogo jambo la kawaida..
 
Nenda na hizo tathmini zako India ukirudi niletee majibu
Mkuu nakuunga mkono yaan wahind ni wapuuz kweli kuna kihindi kimoja tulikutana ka nchi flani hivi ka watu weupe cha ajabu yule mhindi pamoja na weusi wake kunishinda akiwaona wale weupe alikuwa akinishusha hadhi na kujiona yeye ni bora yaan nikikuwa nacheka sana
 
dah jamaaa mkali sana atatumalizia warembo wetu wahindi wana target kali sana na masoko yao ya bolywood
Wazungu usiwajudge kwa juu. Anaweza kuwa si rzki wadada wakaishia stroke kama walivyompenda Maiko Scofili.
 
1473278901407.jpg
 
Wazungu usiwajudge kwa juu. Anaweza kuwa si rzki wadada wakaishia stroke kama walivyompenda Maiko Scofili.
John Abraham ameoa mkuu mwaka 2014 mkewe anaitwa Priya bado hajapata mtoto na ameongelea swala hilo kuwa bado hawajaplan kupata mtoto na mkewe coz bado anafanya production ktk film.

Fans wa John Abraham tunaamini katika ndoa hayo wanayofanya chumbani na mkewe kama ni rizki au si rizki hiyo itakuwa siri yao ya mke na mume. Tunaamini katika ndoa ndo heshma na thamani yake.

Kazi zake ni nzuri sana katika action muvies na romantic ni moto wa kuotea mbali. Tukipata msanii japo mmoja Tz kama huyu tasnia ya bongo movie itakwenda mbali sana esp. Gabo Zigamba
 
priya yupi?? Au unamaanisha priyanka chopra
 
Muigizaji machachali wa sinema za kihindi za mapigano pamoja na mapenzi John Abraham atangaza kuwa anatarajia kuja nchini mwakani kwa ajili ya kucheza baadhi ya vipande katika movie mpya inayotarajiwa kuingia sokoni mwanzoni mwa mwaka 2018

Kazi imebaki kwa wasanii wetu wa Tanzania kutumia nafasi hii adimu kujitangaza kimataifa

View attachment 395634

View attachment 395635

View attachment 395636

View attachment 395637
Six pack ipo poa.
Yupo vizuri, mwili wa mazoezi
Wapi Ray kigosi mzee wa maji litre 1
Fursa hiyo.
I wish na Kanumba angekuwepo.
 
John Abraham ameoa mkuu mwaka 2014 mkewe anaitwa Priya bado hajapata mtoto na ameongelea swala hilo kuwa bado hawajaplan kupata mtoto na mkewe coz bado anafanya production ktk film.

Fans wa John Abraham tunaamini katika ndoa hayo wanayofanya chumbani na mkewe kama ni rizki au si rizki hiyo itakuwa siri yao ya mke na mume. Tunaamini katika ndoa ndo heshma na thamani yake.

Kazi zake ni nzuri sana katika action muvies na romantic ni moto wa kuotea mbali. Tukipata msanii japo mmoja Tz kama huyu tasnia ya bongo movie itakwenda mbali sana esp. Gabo Zigamba
Bora mkuu yuko asilia. Nawaogopa asje kuwa Elton Joni, Timi Cuuk, Mikaeli Scofili wa Prison break.
 
Back
Top Bottom