Mwigizaji Vin Diesel afunguliwa kesi ya Unyanyasaji wa Kingono dhidi ya Mfanyakazi wake

Yap hizi case ni mara chache sana kwa Wazungu na pia kipindi wanacholipa kodi kubwa wako kwenye ubora wao wanaachwa wanakuja kushtakiwa wakianza kula matunda yao...kama walivyonfanyia Kelly..
Mbona Rais aliye maliza muda wake Bill Clinton walimtia hatianii kesi na Bi Monica Lewinsky.
Marekani haijalishi wewe ni Nani...[emoji3][emoji3]
 
Alikuwa wapia asishtak toka 2010 had leo 2023 inaishia? Au alikuwa anasubiri hela iongezeke apate mgao vyema?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2849440
Nyota wa Filamu za Fast & Furious, Vin Diesel amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Asta Jonasson, Mwanamke aliyewahi kuwa Msaidizi wake mwaka 2010.

Mwanamke huyo amedai Septemba 2010 wakati wakirekodi vipande vya Filamu ya Fast Five aliitwa chumbani kwa Diesel akiwa peke yake ambapo alifanyiwa Ukatili wa Kingono ikiwemo Kushikwa Viungo vya Mwili bila ridhaa yake.

Ameongeza kuwa siku iliyofuata aliitwa na Samantha Vincent ambaye ni dada wa Diesel ambapo alitamkiwa kufukuzwa kazi. Hata hivyo Mwanasheria wa Diesel amekana tuhuma hizo na kudai Mwanamke ametunga uongo kwa maslahi binafsi.

Katika miaka ya hivi karibuni, Mastaa kadhaa wamejikuta katika matatizo tangu kuanza kwa harakati za kimataifa za #MeToo ambazo zimeshuhudia Watu maarufu wakiadhibiwa kwa Unyanyasaji na Ukatili dhidi ya Wanawake

================

Action star Vin Diesel has been accused of sexually assaulting his assistant in an Atlanta hotel room over a decade ago, according to a lawsuit filed Thursday.

The suit is the latest claim to be lodged with courts in California, which has extended the length of time in which legal action can be taken in cases of alleged sexual crimes.

Asta Jonasson said her first assignment after being hired by the "Fast and Furious" star's company was to travel to Atlanta in September 2010 during the filming of "Fast Five."

There, she was tasked with helping Diesel leave a hotel in the early morning hours after entertaining multiple women in a suite, before paparazzi were alerted to his whereabouts.

"Alone in the hotel suite with him, Vin Diesel sexually assaulted Ms Jonasson. Vin Diesel forcibly grabbed Ms Jonasson, groped her breasts, and kissed her. Ms Jonasson struggled continually to break free of his grasp, while repeatedly saying no.

"Vin Diesel then escalated his assault," the suit said, with the actor trying to pull down his assistant's underwear.

The suit stated that Jonasson fled to a bathroom, where Diesel pursued her, and forced her to touch him. He then pinned her against a wall and masturbated.

The following day, Samantha Vincent, the actor's sister and president of One Race, the entertainment company that employed Jonasson, allegedly called and fired her.

"The message was clear. Ms Jonasson was fired for courageously resisting Vin Diesel's sexual assault, Vin Diesel would be protected, and his sexual assault covered up," the suit said.

The civil suit seeks unspecified damages against Diesel, Vincent and their companies.

Diesel's lawyer Bryan Freedman said his client "categorically denies this claim in its entirety" and that there is evidence which "completely refutes" the allegations, according to a statement published by Variety.

Representatives for Diesel did not immediately respond to AFP requests for comment.

Jonasson has waived the right to anonymity customarily granted to victims of alleged sex abuse.

The global #MeToo movement has seen powerful men in the world of entertainment punished for their abusive and predatory behavior, starting with bombshell allegations against industry titan Harvey Weinstein in 2017 that led to his imprisonment on multiple sex assault convictions.
Kinachonishangaza hizi kesi ni kwa wale wenye asili ya Africa tu.

Kwahiyo sisi ndio tuna nyege sana ila wazungu hawana.
 
Hivi hiyo me too inalenga weusi tuu wazungu hawanyanyasagi?!
 
Hivi huko Marekani wanakuwa na ushahidi? Au mwanamke akisema tu inakuwa kweli?
America is gynocentric society yaani ni jamii ambayo imemezwa na mfumo jike... huko mwanamke anapewa kipaumbele na thamani kubwq kuliko mwanaume, yaani wanaume kule ni kama binadamu wa daraja la pili(second class beings).

Huko mwanamke akicheua tu au akilalamika kwa lolote lile kuhusu wewe mwanaume hata kabla hajatoa ushaidi wa aina yoyote ile, tayari wewe unakuwa public enemy na kila mtu atamuamini mwanamke huyo..... mfano kama kwenye hizo kesi za unyanyasaji wa kingono ndio kabisa, mwanamke akikutuhumu kwamba umemnyanyasa kingono, hata kazini unasimamishwa kwa muda usiojulikana mpaka pale ukweli utakapokuwa wazi, na kina makampuni mengine hata ikija kubainika baadae kwamba ulikuwa unasingiziwa hayakurudishi kazini maana tayari umeshaaribiwa reputation yako, maana hawataki kufanya kazi na mtu ambaye reputation yake imeshaaribika.

Mbaya zaidi huko hata baadae ikija kubainika wazi kwamba ulisingiziwa na kuharibiwa reputation yako, mwanamke aliyekusingizia hachukuliwi hatua yoyote ile na hata wewe mwanaume hakuna fidia yoyote unayolipwa... na hii imefanya wanawake wengi sana ku raise false accusations pale wanapotaka either pesa au kumkomesha mwanaume fulani.

Kuna dada mmoja mnigeria alifanyiwa mpago wa kwenda US na boyfriend mnigeria mwenzie ambaye alikuwa tayari anaishi US, jamaa akamtafutia chuo cha medical faculties, demu kapiga kitabu mwaka mzima baada ya kumaliza akaanza kupiga na kazi, wameishi miaka mitatu vizuri kabisa wakapata na mtoto.... baadae yule sijui alimchoka mshikaji, alichokifanya yeye alienda tu police na kuwaambia kwamba hajiskii amani tena kuishi na jamaa yake, ukifika usiku hapati usingizi kabisa kwa hofu aliyonayo... sasa alichoaambiwa yule jamaa yake sasa kwamba atafute sehemu nyingine ya kuishi na asimsogelee kabisa yule mwanamke kwa muda usiopungua miezi sita mpaka pale mwanamke huyo atakaporejesha imani kwake, halafu na wakati huo huo hela ya matumizi ya yule mwanamke na mtoto wao awe anatoa...... that's is America for you very sick society
 
View attachment 2849440
Nyota wa Filamu za Fast & Furious, Vin Diesel amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Asta Jonasson, Mwanamke aliyewahi kuwa Msaidizi wake mwaka 2010.

Mwanamke huyo amedai Septemba 2010 wakati wakirekodi vipande vya Filamu ya Fast Five aliitwa chumbani kwa Diesel akiwa peke yake ambapo alifanyiwa Ukatili wa Kingono ikiwemo Kushikwa Viungo vya Mwili bila ridhaa yake.

Ameongeza kuwa siku iliyofuata aliitwa na Samantha Vincent ambaye ni dada wa Diesel ambapo alitamkiwa kufukuzwa kazi. Hata hivyo Mwanasheria wa Diesel amekana tuhuma hizo na kudai Mwanamke ametunga uongo kwa maslahi binafsi.

Katika miaka ya hivi karibuni, Mastaa kadhaa wamejikuta katika matatizo tangu kuanza kwa harakati za kimataifa za #MeToo ambazo zimeshuhudia Watu maarufu wakiadhibiwa kwa Unyanyasaji na Ukatili dhidi ya Wanawake

================

Action star Vin Diesel has been accused of sexually assaulting his assistant in an Atlanta hotel room over a decade ago, according to a lawsuit filed Thursday.

The suit is the latest claim to be lodged with courts in California, which has extended the length of time in which legal action can be taken in cases of alleged sexual crimes.

Asta Jonasson said her first assignment after being hired by the "Fast and Furious" star's company was to travel to Atlanta in September 2010 during the filming of "Fast Five."

There, she was tasked with helping Diesel leave a hotel in the early morning hours after entertaining multiple women in a suite, before paparazzi were alerted to his whereabouts.

"Alone in the hotel suite with him, Vin Diesel sexually assaulted Ms Jonasson. Vin Diesel forcibly grabbed Ms Jonasson, groped her breasts, and kissed her. Ms Jonasson struggled continually to break free of his grasp, while repeatedly saying no.

"Vin Diesel then escalated his assault," the suit said, with the actor trying to pull down his assistant's underwear.

The suit stated that Jonasson fled to a bathroom, where Diesel pursued her, and forced her to touch him. He then pinned her against a wall and masturbated.

The following day, Samantha Vincent, the actor's sister and president of One Race, the entertainment company that employed Jonasson, allegedly called and fired her.

"The message was clear. Ms Jonasson was fired for courageously resisting Vin Diesel's sexual assault, Vin Diesel would be protected, and his sexual assault covered up," the suit said.

The civil suit seeks unspecified damages against Diesel, Vincent and their companies.

Diesel's lawyer Bryan Freedman said his client "categorically denies this claim in its entirety" and that there is evidence which "completely refutes" the allegations, according to a statement published by Variety.

Representatives for Diesel did not immediately respond to AFP requests for comment.

Jonasson has waived the right to anonymity customarily granted to victims of alleged sex abuse.

The global #MeToo movement has seen powerful men in the world of entertainment punished for their abusive and predatory behavior, starting with bombshell allegations against industry titan Harvey Weinstein in 2017 that led to his imprisonment on multiple sex assault convictions.
Yaan mm kila ninapikutana na personal assistant wangu siachi kumshika tako au kutomasa nyonyo.
 
Kesi za namna hii zinawaandama sana mastaa wa ulaya sijui tatizo nini
Wameambiwa wafukue makaburi
Yaani kila alietendewa unyanyasaji atoke hadharani
Na kumbuka tabloids wanatengeneza hela sana na pia wanasheria
 
Hivi huko Marekani wanakuwa na ushahidi? Au mwanamke akisema tu inakuwa kweli?
Ushahidi ni mfumo wa footprint unafanya KAZI sasa, ukisomwa cabon yako inakusoma maisha yako tangu utoto hapo ushahidi unapatikana, hivi hata VR glass watu hawajui kama zinasoma record ya maisha ya MTU, hizi Siri za matukio ya Siri sasa hivi zinakuwa wazi kwa footprint.
 
Mkuu acha kupiga watu kamba. Eti inakusoma maisha yako hadi utotoni. Nasema acha kuwapiga watu kamba
 
Back
Top Bottom