Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Yeah ngoja tuone itakuajeCha ajabu wanyanyasaji ni Blacks tu
Ila tusubiri mda kidogo hizo orodha zinazokuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ngoja tuone itakuajeCha ajabu wanyanyasaji ni Blacks tu
Ila tusubiri mda kidogo hizo orodha zinazokuja
Footprint hiyo, kama unavyoangalia VR ya mpira inavyorecord, ndo maisha yetu yalivyo ukisomwa footprint mpaka babu yako anajulikana ni Nani.Swali ambalo nlitaka kuuliza wadau na mimi.
Kamba? Ngoja nikuache kama ulivyoona kamba, hivi hujasikia wacheza mpira wanasomwa miaka yao? Sasa hivi imekuja more advanced.Mkuu acha kupiga watu kamba. Eti inakusoma maisha yako hadi utotoni. Nasema acha kuwapiga watu kamba
Kwa hiyo wanasomwa kwa carbon foot print au sio? Hivi unajua maana hata ya carbon foot print? Kusoma miaka ya mtu kuna viashiria vingi vya kujua umri wake unaweza kutumia structure ya mifupa kama ambavyo zinatumika rings za shina kujua umri wa miti. Mkuu hebu kajihabarishe kuhusu carbon foot print haina uhusiano wowote na hiki unachosema. Labda kama unamaanisha radiocarbon dating ya kutambua umri wa kitu lakini inatumika kwa vitu ambavyo kwa muda huo havina uhaiKamba? Ngoja nikuache kama ulivyoona kamba, hivi hujasikia wacheza mpira wanasomwa miaka yao? Sasa hivi imekuja more advanced.
Uwongo ,kwani huyo ni maulaya upakaziaji huoKesi za namna hii zinawaandama sana mastaa wa ulaya sijui tatizo nini
Hizi fiksiUshahidi ni mfumo wa footprint unafanya KAZI sasa, ukisomwa cabon yako inakusoma maisha yako tangu utoto hapo ushahidi unapatikana, hivi hata VR glass watu hawajui kama zinasoma record ya maisha ya MTU, hizi Siri za matukio ya Siri sasa hivi zinakuwa wazi kwa footprint.
Ndio, ni upakaziaje huoUwongo ,kwani huyo ni maulaya upakaziaji huo
Ni mmarekaniNdio, ni upakaziaje huo
Shida ni rangiNi mmarekani
Ndio maana wahuni wanawaza kuoa Midori tu, Wanawake wa Ulaya ni shidah, yaani huwa ni swala la muda tu mtego unafyatuka.Diddy asipoishia gerezani kama Rkelly sijui.
Sema kuna mambo ukisingiziwa tena na mwanamke huko US anaaminika mpaka uje kuchomoka ushachoka
Sio rangi ,kubaliane umekosea kutaja uraia wa mtu, na nikawaidaShida ni rangi
Nimekosea kutaja uraia?Sio rangi ,kubaliane umekosea kutaja uraia wa mtu, na nikawaida
wewe ukishakuwa na pesa jua tu kuna vidada vingine vitakusogelea kufanya kazi na wewe na kukutega lengo likiwa uingie mkenge ili vipige pesa kwa kukufungulia kesi au vikushike masikio kwa namna yeyote ile. ndio maana kesi hizo huwa zinafunguliwa baada ya wao kufukuzwa kazi. wanaume okokeni, uzinzi ni mbaya.View attachment 2849440
Nyota wa Filamu za Fast & Furious, Vin Diesel amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Asta Jonasson, Mwanamke aliyewahi kuwa Msaidizi wake mwaka 2010.
Mwanamke huyo amedai Septemba 2010 wakati wakirekodi vipande vya Filamu ya Fast Five aliitwa chumbani kwa Diesel akiwa peke yake ambapo alifanyiwa Ukatili wa Kingono ikiwemo Kushikwa Viungo vya Mwili bila ridhaa yake.
Ameongeza kuwa siku iliyofuata aliitwa na Samantha Vincent ambaye ni dada wa Diesel ambapo alitamkiwa kufukuzwa kazi. Hata hivyo Mwanasheria wa Diesel amekana tuhuma hizo na kudai Mwanamke ametunga uongo kwa maslahi binafsi.
Katika miaka ya hivi karibuni, Mastaa kadhaa wamejikuta katika matatizo tangu kuanza kwa harakati za kimataifa za #MeToo ambazo zimeshuhudia Watu maarufu wakiadhibiwa kwa Unyanyasaji na Ukatili dhidi ya Wanawake
================
Action star Vin Diesel has been accused of sexually assaulting his assistant in an Atlanta hotel room over a decade ago, according to a lawsuit filed Thursday.
The suit is the latest claim to be lodged with courts in California, which has extended the length of time in which legal action can be taken in cases of alleged sexual crimes.
Asta Jonasson said her first assignment after being hired by the "Fast and Furious" star's company was to travel to Atlanta in September 2010 during the filming of "Fast Five."
There, she was tasked with helping Diesel leave a hotel in the early morning hours after entertaining multiple women in a suite, before paparazzi were alerted to his whereabouts.
"Alone in the hotel suite with him, Vin Diesel sexually assaulted Ms Jonasson. Vin Diesel forcibly grabbed Ms Jonasson, groped her breasts, and kissed her. Ms Jonasson struggled continually to break free of his grasp, while repeatedly saying no.
"Vin Diesel then escalated his assault," the suit said, with the actor trying to pull down his assistant's underwear.
The suit stated that Jonasson fled to a bathroom, where Diesel pursued her, and forced her to touch him. He then pinned her against a wall and masturbated.
The following day, Samantha Vincent, the actor's sister and president of One Race, the entertainment company that employed Jonasson, allegedly called and fired her.
"The message was clear. Ms Jonasson was fired for courageously resisting Vin Diesel's sexual assault, Vin Diesel would be protected, and his sexual assault covered up," the suit said.
The civil suit seeks unspecified damages against Diesel, Vincent and their companies.
Diesel's lawyer Bryan Freedman said his client "categorically denies this claim in its entirety" and that there is evidence which "completely refutes" the allegations, according to a statement published by Variety.
Representatives for Diesel did not immediately respond to AFP requests for comment.
Jonasson has waived the right to anonymity customarily granted to victims of alleged sex abuse.
The global #MeToo movement has seen powerful men in the world of entertainment punished for their abusive and predatory behavior, starting with bombshell allegations against industry titan Harvey Weinstein in 2017 that led to his imprisonment on multiple sex assault convictions.
Njema kabisa, nimefurahi kukuona best. Watu wengi wamepotea duniani, ukimwona ndugu yako lazima ufurahi… hebu njoo pakachaniNipo ndugu yangu....jana na leo.
Habari ya uzima
Njema kabisa, nimefurahi kukuona best. Watu wengi wamepotea duniani, ukimwona ndugu yako lazima ufurahi… hebu njoo pakachani