Mwigulu aanza tena kampeni zilizomfukuzisha uwaziri awamu ya 5

Mwigulu aanza tena kampeni zilizomfukuzisha uwaziri awamu ya 5

Huyu mtu ni hatari sana ná kuna dalili kwamba samia anamuogopa huyu ndiyo sababu hajampiga chini baada ya kuvurunda kwenye bajeti.
Alipanga kumbadilisha ila kigogo akajitia kiherehere kusema analetwa fulani hapo ikabidi rais abadilishe maamuzi na kutafuta mtu mwingine
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Hivi kuna watu wanatenga muda wao kumsikiliza huyo jamaa??
 
Hv huyu jamaa ana nguvu gani huko CCM inaonekana sio muoga kabisa!!
 
Kimzaha mzaha tu hili la tozo nalo limepita. Watanzania tunastahili kila hali yetu.
 
afadhali hata huyo ametoa picha, maana kuamini au kutokuamini kunabaki kuwa juu yako. ingekuwa mbowe hapa tungelazimishwa tuamini hata bila picha!!
Mbowe kuhusu nini Sasa?Kipi uliwahi kulazimishwa kuamini kuhusu Mbowe
 
Majitu kama haya yanatakiwa kupigwa polonium haraka yasije yakaokota dodo kama yule kichaa wa Chato
Yaani yule Kichaa aliyeko motoni huko ana nafuu kuliko huyu Migulu.Lazima tuelezane Ukweriii au nasema uongo jamani?
 
View attachment 1866636
Wananchi wenye mabango Tunduma mkoani Songwe wamezuia msafara wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba, wakiitaka serikali kudhibiti ukusanyaji wa kodi ili kupata fedha nyingi zitakazosaidia kukamilisha miradi ya maendeleo.

My Take
Haya ni maigizo kama maigizo mengine,maigizo yenye lengo la kujipigia debe kuelekea 2025.
Ule uvumi unaweza kuwa na ukweli na inaonekana huyu ndio chaguo lao.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Yaani yule Kichaa aliyeko motoni ana nafuu kuliko huyu Migulu.Huyu Migulu.Nasema ukwerii
Haikuwa na ulazima wowote kwa yeye kusimama kusikiliza Wananchi ingawa anaweza jitetea lakini kwa namna fulani ameingilia wenye mamlaka ya kutoa kauli na zikawa kama sheria /amendment ya hoja.
 
View attachment 1866636
Wananchi wenye mabango Tunduma mkoani Songwe wamezuia msafara wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba, wakiitaka serikali kudhibiti ukusanyaji wa kodi ili kupata fedha nyingi zitakazosaidia kukamilisha miradi ya maendeleo.

My Take
Haya ni maigizo kama maigizo mengine,maigizo yenye lengo la kujipigia debe kuelekea 2025.
Halafu waziri wa fedha anakuwaje na escort nzito hivyo? Hesabu kofia nyekundu za FFU

Mwigulu ni kama wale waangalizi wanaowekwa kulinda nyumba pindi mwenye nyumba akiwa mbali na kwake basi mwangalizi yule anajifanya yeye ndio faza hausi!

Mama anapaswa kuwaangalia kwa ukaribu zaidi Mwigulu na Diblo Dibala watamuangusha na hatoamini macho yake!!
 
Huyo ni mtu hatari sana kuendelea kuwemo kwenye Baraza la Mawaziri. Samia alifanya makosa makubwa kuwaacha Mwigulu Nchemba, Mpango , Majaliwa, Ndugulile na Gwajima katika Serikali yake. Sasa wanampa shida kwani bado wanataka kuendelea kumuenzi mwendazake. Hata ile kauli ya RPC Mwanza kwamba kapewa order ná Samia ya kumkamata Mbowe kuna tetesi hii Axis of evil inahusika.
Alipanga kumbadilisha ila kigogo akajitia kiherehere kusema analetwa fulani hapo ikabidi rais abadilishe maamuzi na kutafuta mtu mwingine
 
Back
Top Bottom