Mwigulu acha kupanick, jibu hoja za Luhaga Mpina. Kwanini utumie reserve ya dola kujengea madarasa nje ya bajeti? Mbona awali hukusema kweli?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi.

Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti.

Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa lipi? Jibu hoja za Luhaga Mpina.
 
Nimependa majibu ya Mwigulu , hatua za serikali ni nzur shida ni usimamizi , Mpina anamfanya Mwigulu achangamke asilale lale
 
We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi.

Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti.

Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa lipi? Jibu hoja za Luhaga Mpina.
Ngoja mabehewa sahihi ya SGR yakija atajibu hoja, yale mabehewa ya kwenda Kigoma yenye hoteli mliyoyacheka mmemchanganya.
 
Back
Top Bottom