Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi.
Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti.
Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa lipi? Jibu hoja za Luhaga Mpina.