Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wananchi tunaiahauri serikali kuacha kuibeba CCM ktk chaguzi kuu, naomba na hili lishughulikiwe kwa sababu serikali sikivu inawasikiliza wananchiWaziri wa Fedha Mh Mwigulu akizungumza na Waandishi wa habari amesema kwamba Wananchi wenyewe ndio walioshauri serikali iweke Tozo ili kupanua wigo wa mapato , na kwamba ilichofanya serikali ni kuufanyia kazi ushauri wa Wananchi .
Chanzo : SwahiliTimes
Kweli sisi wananchi wajinga kama alivyosema kiongozi wa upinzani yaani tumependekeza tozo wenyewejInga sn, kama walishauri mbona wanalalamika sasa?
Mimi ni mmoja wa walioshauri. Wewe Kama ulikuwa haupo basi tuliaHayo maoni ya wananchi waliyakusanya lini na kwa njia gani?
Aache uongo, hizo tozo zimepitishwa na lile bunge la CCM lisiloweza kuihoji chochote serikali.
Huwezi kuwasikia wakiongelea kupunguza mishahara na posho zao nonoKweli sisi wananchi wajinga kama alivyosema kiongozi wa upinzani yaani tumependekeza tozo wenyewe...
Shirika LA TWAWEZA ndo lilifanya researchHayo maoni ya wananchi waliyakusanya lini na kwa njia gani?
Aache uongo, hizo tozo zimepitishwa na lile bunge la CCM lisiloweza kuihoji chochote serikali kisha Rais akaweka saini.
Tunavyolalamika waziondoe sasa
Wananchi gani hao walioshauri hivyo? Asitufanye wajingaWaziri wa Fedha Mh Mwigulu akizungumza na Waandishi wa habari amesema kwamba Wananchi wenyewe ndio walioshauri serikali iweke Tozo ili kupanua wigo wa mapato , na kwamba ilichofanya serikali ni kuufanyia kazi ushauri wa Wananchi .
Chanzo : SwahiliTimes
[emoji38][emoji38][emoji38]Inabidi uziondoe mwenyewe mwananchi uliyeziweka hahahahahaaaa