Mwigulu adai wananchi ndio walioshauri tuweke tozo

Waziri wa Fedha Mh Mwigulu akizungumza na Waandishi wa habari amesema kwamba Wananchi wenyewe ndio walioshauri serikali iweke Tozo ili kupanua wigo wa mapato , na kwamba ilichofanya serikali ni kuufanyia kazi ushauri wa Wananchi .

Chanzo : SwahiliTimes
Siwezi kumbishia Mwigulu. Siku zote huwa Nina wasiwasi na wananchi wa Iramba, siwaamini kabisa bora Leo mbunge wao amenithibitishia. Yaani Wanyiramba mlimuita mbunge wenu mkampa huu ushauri ili sisi tuumie kwa vile nyie hela mnatunza kwenye vibuyu?
 
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu akizungumza na Waandishi wa habari amesema kwamba Wananchi wenyewe ndio walioshauri serikali iweke Tozo ili kupanua wigo wa mapato , na kwamba ilichofanya serikali ni kuufanyia kazi ushauri wa Wananchi .

Chanzo : SwahiliTimes
IMG-20220901-WA0066.jpg
 
Huyu kiumbe jamani sijui PhD yake Ni ya chuo gani???
 
Wananchi tunaiahauri serikali kuacha kuibeba CCM ktk chaguzi kuu, naomba na hili lishughulikiwe kwa sababu serikali sikivu inawasikiliza wananchi

Huyu waziri anafaa kwenye comedy zaidi

Sio wananchi, bali vyombo vya dola ndio viache kuibeba CCM.
 
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu akizungumza na Waandishi wa habari amesema kwamba Wananchi wenyewe ndio walioshauri serikali iweke Tozo ili kupanua wigo wa mapato , na kwamba ilichofanya serikali ni kuufanyia kazi ushauri wa Wananchi .

Chanzo : SwahiliTimes
Inawezekana ni wananchi wa Burundi walishauri
 
Sio wananchi, bali vyombo vya dola ndio viache kuibeba CCM.
Mimi kama mwananchi ninaishauri serikali iache kuibeba CCM

Wananchi hawajawahi kuibeba CCM zaidi ya kipindi cha Baba wa Taifa

Inatosha sasa
 
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu akizungumza na Waandishi wa habari amesema kwamba Wananchi wenyewe ndio walioshauri serikali iweke Tozo ili kupanua wigo wa mapato , na kwamba ilichofanya serikali ni kuufanyia kazi ushauri wa Wananchi .

Chanzo : SwahiliTimes
Safi sana kama serikali inaweza kuchukua maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi.. Sasa kuna haya maoni mengine kwamba baadhi ya mawaziri wameshindwa kazi akiwemo yeye..TUNAOMBA SERIKALI IYAFANYIE KAZI NAYO PIA
 
Anavyoongea ni wazi anajua hatuna cha kumfanya, tutalalamika mitandaoni wao wataendelea kufanya wanayofanya na kuishi wanavyoishi, wakati umefika sasa wananchi tuamke, tuseme kwa kauli moja kwamba anasa zao na kodi zetu hatutaki.
 
Back
Top Bottom