Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi waliomshauri ni wa huko Ulemo? Ni utaratibu upi aliotumia kupokea huo ushauri? N8 watu wangapi walihusika? Njia ipi zilitumika kwenye uamuzi wa kuona kuwa ushauri huo ulikuwa unawakilisha ushauri kutoka kwa wananchi walio wengi?Waziri wa Fedha Mh Mwigulu akizungumza na Waandishi wa habari amesema kwamba Wananchi wenyewe ndio walioshauri serikali iweke Tozo ili kupanua wigo wa mapato , na kwamba ilichofanya serikali ni kuufanyia kazi ushauri wa Wananchi .
Chanzo : SwahiliTimes
Ewaaa! Hao hao ndo wamekuwakilisha! Maana ulichagua mbunge wako mwenyewe 2020Hayo maoni ya wananchi waliyakusanya lini na kwa njia gani?
Aache uongo, hizo tozo zimepitishwa na lile bunge la CCM lisiloweza kuihoji chochote serikali kisha Rais akaweka saini.
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu akizungumza na Waandishi wa habari amesema kwamba Wananchi wenyewe ndio walioshauri serikali iweke Tozo ili kupanua wigo wa mapato , na kwamba ilichofanya serikali ni kuufanyia kazi ushauri wa Wananchi .
Chanzo : SwahiliTimes
Exactly.Mpaka siku box la kura likipata heshima yake ndio huu ujinga utakwisha .
Jazaujazwe ndo nuksiWananchi waliomshauri ni wa huko Ulemo? Ni utaratibu upi aliotumia kupokea huo ushauri? N8 watu wangapi walihusika? Njia ipi zilitumika kwenye uamuzi wa kuona kuwa ushauri huo ulikuwa unawakilisha ushauri kutoka kwa wananchi walio wengi?
Labda tumaini la Wanyiramba [emoji706][emoji706][emoji706][emoji51][emoji51][emoji51]
Du! 😡😡😡 taratibu jamani ebu atuambie hao wananchi waliopendekeza to ni kina nani?????? isijekuwa ni miongoni mwao!! Basi sie wananchi tunashauri tena hatutaki tena tozo wala makato yeyote ya dhulma. Sie wananchi tunaishauri serikali kutoza tozo wabunge na mawaziri tu.Waziri wa Fedha Mh Mwigulu akizungumza na Waandishi wa habari amesema kwamba Wananchi wenyewe ndio walioshauri serikali iweke Tozo ili kupanua wigo wa mapato , na kwamba ilichofanya serikali ni kuufanyia kazi ushauri wa Wananchi .
Chanzo : SwahiliTimes
Kwahiyo wananchi wakisema tozo zifutwe zitafutwa???
Tuanzie hapo kwanza.
Hovyo sana Yaani very hovyo ukisikia hizi Argument unahisi kuchefukwa sanaIla miccm bwana alowaroga kafa.[emoji134][emoji134][emoji134]