Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
CCM inajivunia imani kubwa sana ya waTanzania.
Na Chimbuko na msingi wa ushindi wa kishindo wa CCM katika kila chaguzi ni kampeni za nyumba kwa nyumba Lakini pia kijiwe kwa kijiwe.
Well done ndugu waziri Dr Mwigulu 💪🌹
Na Chimbuko na msingi wa ushindi wa kishindo wa CCM katika kila chaguzi ni kampeni za nyumba kwa nyumba Lakini pia kijiwe kwa kijiwe.
Well done ndugu waziri Dr Mwigulu 💪🌹
Kabla ya kampeni ukitaka kumsogelea Mwigulu au kiongozi mwingine mwananchi atapigwa roba chaaaaaa, labda kama kiongozi atasema mwacheni asogeee tumsikilize, mpeni mike!
Ila kwenye kampeni ni mwendo wa kuwakumbatia hawa hawa! Akili kumkichwa wapiga kura![]()
=====
View attachment 3158884
View attachment 3158885View attachment 3158886
View attachment 3158887View attachment 3158888View attachment 3158889View attachment 3158890
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amefanya kampeni za nyumba kwa nyumba na kijiwe kwa kijiwe wilayani Iramba, kwa kukutana na wananchi katika maeneo yao ya makazi na shughuli zao za kila siku.
Lengo la kampeni hiyo kuimarisha uungwaji mkono wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Kampeni hizi zinaakisi dhamira ya dhati ya CCM ya kuendeleza ushirikiano wa karibu na wananchi katika kujenga maendeleo endelevu.