Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Unasemaa?kikifika kipindi cha kampeni hawa viongozi wanabadilika kama vile sio wao, V8 wanaziacha dodoma, nywele hawachani, yan wanajitoa ufahamu ili kuwahadaa wapiga kura
kweli ngozi nyeusi kuna mahali tulirogwa..