LGE2024 Mwigulu afanya kampeni nyumba kwa nyumba, amekula kwa mama ntilie kama Kigwangala. Movie ziendelee!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CCM inajivunia imani kubwa sana ya waTanzania.

Na Chimbuko na msingi wa ushindi wa kishindo wa CCM katika kila chaguzi ni kampeni za nyumba kwa nyumba Lakini pia kijiwe kwa kijiwe.

Well done ndugu waziri Dr Mwigulu πŸ’ͺ🌹
 
Vituko vya uchaguzi
 


Drama mshenzi
 
Mtu wa cheo hicho inabidi uwe makini na unachokula, hata kama maigizo hebu wawe makini aiseee. Atoke hapo aambiwe ini au figo zimefail waanze kutafuta mchawi nani? Hata kama CCM siipendi ila sijaona mbadala wao, hebu wawe makini aisee
Kwahiyo hao Wananchi wanaokula hivyo vyakula Kila siku ya maisha Yao wanaumwa figo na maini yamefeli?
 
CCM mtaji wao ni wajinga ambao nchi hii imebarikiwa kuwa nao
 
Mkoa unaongoza kwa ufukara, njaa, vumbi tz haya labda watakumbukwa,,,
 
Leo nimeumia sana baada ya kumwona mwigulu eti anakula chapati ,anauza nyanya,analanda mbao, huu ni unafiki na ni zalao kwa watanzania.

Watanzania naomba tuwakatae wanasiasa kama hawa, kabla ya uchaguzi wanapita na mav8 yao tintedi kubwa, biza kukwapua pesa za wala hoi, uchaguzi ukifika wanajifanya wanaenda kujifanyisha eti wanahali Sawa za kimaisha na wanainchi wa chini, huu ni unafiki na ni dhambi kubwa mbele za Mungu, watu kama HAWA wakina mwigulu na wengine wanapaswa kukataliwa na kila MTANZANIA mwenye akili timamu, na mzalendo I'li iwe fundisho kwa mwanasiasa yeyeyote

Inaumiza sana. Watanzania wa leo sio Sawa na wa miaka ya nyuma ,HAWA wanajua kuwa wewe ni mnafiki na laghai wa siasa, alafu mwigulu soma alama za nyakati mbinu hizo unazotumia sasa ni za miaka ya 2000 huko, watanzania sasa wanajua kuwa nyie wanasiasa ni vinyonga.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
 
Msingi

Chimbuko na msingi wa ushindi wa kishindo kwa CCM katika kila chaguzi, ni kampeni za nyumba kwa nyumba, kijiwe kwa kijiwe nchi nzima..

well done ndugu waziri Dr.Mwigulu πŸ’ͺ🌹
Miyeyusho huyo

Ova
 
Watoto wakebwanasoma feza International schools adq ni ml 35 kwa mwaka. Wajinga ndiyo waliwao
 
Siasa majitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…