Mwigulu ajikanyaga Bungeni kuhusu kodi ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia ya Dhahabu

Nawewe sijui ulikuwa mchepuko wa bwana yule,maana unavyoangaika kumtetea utadhani umehaidiwa pepo
 
Hao wana mimba zao za chuki kwa Mwendazake zilizogoma kukomaa na huyo kima (Lisu) wanaye muona wa maana naye alishawahi kuwa mwanasheria wa kampuni ya ACACIA,njaa tupu na ndio maana Lowasa aliwanunua.
 
Basis ya assessment ya 360T shilling dwelt on idiotic premises, I don’t believe TRA could stand in court to defend that madness and absurdity
 
Kila kukicha huyu mwigulu anazidi kuonyesha hiyo wizara haiwezzi zaidi ya ujanjaujanja!
Kwanza hata kujieleza kwa kujipambanua ni mzito saaaana!
 

Haya mambo ni size ya wachumi, wahasibu na wataalamu wa biashara. Siyo kila mwana JF anayejua kiingereza anaweza kuinterpret.

Ninachikiona kilichobadilika kwenye mkataba wa Barick ni mrahaba tu kutoka I think 9% (au 6%) alizoacha JK hadi 16%. Lakini naye JK kuna kazi alifanya kwa kuwa wakati wa BWM ilikuwa 3%.

Hii economic benefit ni vague term. Ukisoma kwenye nadharia wanasema yaweza kuwa mapato yaliyopatikana, au gharama zilizookolewa. In short siyo kitu tangible kwa kuwa ni rahisi tu kuambiwa 'hatukupata economic benefits). Hiyo ni changa la macho ambalo negotiations team yetu chini ya Prof Kabudi ilibambikiziwa ikadhani ni kitu cha maana.

Mengine ya USD 190 Bilion maarufu kama Noah kwa kila Mtanzania imekufa na ilikiwa ni ndoto ya mwendawazimu au kwa lugha ya Tundu Lissu Professorial rubbish.

Ile USD 300 Million (Tshs 700 Billion) ilikubaliwa lakini kulipwa ni kwa miaka 6 minus madeni wanayoidai Serikali through VAT refund.

Makinikia yataendelea kupelekwa kama kawaida na Sheria za Tanzania hazitatumika kutatua migogoro, itabaki ni ile ile ya ICSID iliyoko London.

Halafu kuna kigingi kipya kimeongezeka kinasema Mkataba wa Barrick na Tz hautaathirika na sheria za madini zitakazotungwa baadaye.

ACACIA unaweza usiione kewnye logo lakini ACACIA ni Barrick na Barrick ni ACACIA. Makao makuu ya Barrick yako Toronto Canada. Kutokana na namna hizi multi nationals zonavyo manage biashara eapecially baada ya kuwa listed kwenye LSE, ilibidi waunde structure ya management ya shughuli zao London through ACACIA. So don't be fooled kuwa eti kampuni ya ACACIA iliyokuwa inatunyonya imenunuliwa. Bado ipo na kama ni kunyonya itaendelea.
 
?

Na unaposema ile ripot ilikuwa kinyume cha 7.0, unaushahidi upi wa hiki usemacho kwamba JPM aliichakachua
Ushahidi upo. Ripoti aliyosa siku ile Pro Mruma siyo original. Pili makontena ya makinikia bado yanasafirishwa, nenda ukapime au waulize wahusika wa TRA wakuambie kuna dhahabu kiasi gani
 
Bila shaka tunakubaliana kuwa, b700 accasia alikubali kuzilipa baada ya mchakato wa mazumgumzo uliotokana na kwere kwamba, wamekuwa wakiiba madini yetu siyo!!

Swali ni!...

Iwapo accasia hawakuwa wezi wa madini, Kwa nini wakubali kulipa au vyovyote utakavyita, dolla 300m?
 
Hivi wewe umefika japo Form 4? Mbona kichwa chako kigumu kuelewa? Je waalimu wako waliwezaje kukupasisha na kichwa kigumu hivyo?
 
Hivi wewe umefika japo Form 4? Mbona kichwa chako kigumu kuelewa? Je waalimu wako waliwezaje kukupasisha na kichwa kigumu hivyo?
Ukishindwa kujibu, maana yake unaongozwa na chuki!

Huongozwi na chuki, jibu maswali, na usipojibu maswali, ndio nyie JPM aliwatimua Kwa sabb ya vyeti vya kufoji na ndio maana umejaa chuki mkuu
 
Ukishindwa kujibu, maana yake unaongozwa na chuki!

Huongozwi na chuki, jibu maswali, na usipojibu maswali, ndio nyie JPM aliwatimua Kwa sabb ya vyeti vya kufoji na ndio maana umejaa chuki mkuu
Hata Magufuli alikuwa na PhD ya kufoji, njoo na hoja nyingine
 
Hawa maprofesa wa Makinikia wanatakiwa kuchunguzwa kama waliipotosha serikali na ripoti yao, kwani ripoti ya makinikia ilileta madhara makubwa ikiwemo maelfu ya watu kupoteza kazo, uwekezaji kusuasua kwenye sekta ya madini, serikali kupoteza mapato n.k
@ Mruma na Usoro hatuwezi kuwa na watu wanapotosha serikali na kufanya maamuzi kupitia taarifa ambazo sio sahihi...
 
Hazikuingia walilipa 100 tu zingine zitatolewa misaadavmika 7 kumbuka ni watavyojisikia , ile ripoti ya prof ishachanwa
 
Trilioni 450 zililipwa?
 
Ukweli anaujua ndio maana akababaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…