Tetesi: Mwigulu akataa kujiuzulu, kunafuka moto

Kwa mujibu wa simulizi hizo, “Msukuma huyo kichwa chake ni Magufuli mtupu.” Anadaiwa kugoma kujiuzulu, kisha akaondoka na kuendelea na ziara zake.
Mtoa mada ni chawa wa Mwigulu, yupo kazini kufanya propaganda, kudanganya wajinga na kumpigia debe bosi wake..

 
Acha uzu Acha uzushi na uwongo, nani alimwita? Hv mnafikiri kila mtu ni mpumbavu km wewe? Anayeweza kumshauri waziri mkuu kujiuzulu ni Rais pekee, hakuna mbwa mwingine. Kwa Rais hawezi kukataa maana atamwondoa kwa aibu, kazi ni moja tu kuvunja baraza la mawaziri. Rais hawezi hata kuongea na PM km Mwinyi alivyomfanya Warioba anayelialia mpk leo. Huo uzushi ni sukuma gang wana mtu wao mambwa hao.
 
Msigwa hana impact yoyote na kanafasi kake kepesi.
Alitumika sana kutoa ufafanuzi ya madudu yaliyokua yanafanyika wakati wa uchaguzi & kudhibiti vyombo vya habari na wanahabari, kazi yake imeisha ni muda wa kum-dump.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…