EMwigulu atakuwa anajua siri nyingi sana hasa alipokuwa wizara ya fedha. Na hii inawaogopesha sana.
asaAmesusa kwa Mamlaka ya Nani?. Yaani upewe kazi na Boss wako ya kutoa ufanunuzi na ukanushaji halafu ususe?. Ana huo ubavu?
Umenifanya nimkumbuke Marehemu Mh. Job Ndugai RIP, ngoja ni-mute kwanza nione what's nextTusubiri kuona iwapo kutakuwa na hatua kupitia vikao vya chama baada ya madai hayo ya kukataa kujiuzulu mwenyewe.
yatauana yenyewe kwa yenyewe hata kabla ya kufika huko selasinikete inasukumwa mchana kweupe
alishafeli zamani sana. Rais wa waTanganyika Yuko kuzuizini kwa muda mfupi sana uliobakia. MUNGU ataitwa MUNGU soonPornstar madelu analipa watu wamfananishe na Magufuli
Yakhe kunani kulee teeena.Mkuu Habari za Zanzibar eti ni kweli
Angekuwa chawa angekuwa na nyuzi nyingi pia angekuwa anajibu replies, Huyu yeye mwenyeweMtoa mada ni chawa wa Mwigulu, yupo kazini kufanya propaganda, kudanganya wajinga na kumpigia debe bosi wake..
Mwigulu Nchemba anawatisha kwa kuwa ni “Mr. Clean.” Amefuata nyendo za Magufuli.
Mwigulu amekuwa Waziri wa Mifugo; hatukusikia amejikatia ranch za umma na kuzifanya za kwake. “Mr. Clean.” Alikuwa Waziri wa Kilimo; hatukumsikia akijikatia mashamba ya umwagiliaji na mitambo. “Mr. Clean.”
Amekuwa Waziri wa Fedha kwa miaka mitano; hatujaona akibadilika na kuwa bilionea. Sana sana, ana watoto yatima zaidi ya mia moja na anawasomesha kwa kuombaomba kwa Bakhresa na ASAS. Maana halisi ya “Mr. Clean.”
Kama ilivyokuwa kwa maisha ya Dkt. Mpango, hii ni ishara kwamba fedha hupotelea...
- Spadino
- mpya mwigulu wapigaji
- Replies: 60
- Forum: Jukwaa la Siasa
Hahaha,Angekuwa chawa angekuwa na nyuzi nyingi pia angekuwa anajibu replies, Huyu yeye mwenyewe
sio kwamba nawapenda sana CCM, isipokuwa hapa kuna spinning game, hapa ni kufikiira ni jambo gani linawaumiza vichwa hawa manjano linalofanya kututoa kwenye focus.Mapya yameibuka katika sakata la video inayodaiwa kutengenezwa ili kumshinikiza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu. Anadaiwa kuwataka walioitengeneza waache kumtishia kuachia video nyingine na badala yake wamlete hata mwanamke ambaye picha yake inadaiwa kutumika kutengeneza video hizo, akisisitiza kuwa hatajiuzulu.
Kwa mujibu wa Mange, video hiyo ilitengenezwa kwa kutumia AI kwa lengo la kumwondoa Mwigulu, kwa namna tofauti na njia iliyotumika kumwondoa Nchimbi. Mange anadaiwa pia kuwa na taarifa kuhusu shinikizo la Mwigulu kutakiwa kujiuzulu, vinginevyo zingeachiwa video nyingine mbaya zaidi.
Taarifa hizo zinadai kuwa Mwigulu aliitwa Chamwino kwenye kikao kizito kilichohusisha tajiri, mtoto na watu wengine wenye ushawishi. Inadaiwa aliingia saa mbili na kutoka saa saba.
Kwa mujibu wa simulizi hizo, “Msukuma huyo kichwa chake ni Magufuli mtupu.” Anadaiwa kugoma kujiuzulu, kisha akaondoka na kuendelea na ziara zake.
Katika kikao hicho, anadaiwa kusema: “Msihangaike na video. Mleteni na mwanamke mliyetumia picha yake. Hakuna mtu wa kujiuzulu. Mimi si Chongolo. Najijua: sinywi pombe, sivuti bangi wala kutumia dawa za kulevya. Sina michezo hiyo, na sijawahi kwenda kwenye lodge hata kwa vikao.”
Taarifa hizo zinadai pia kuwa kikao kilivurugika bila mazungumzo kuendelea. Aidha, kuna madai ya kuitishwa kwa vikao vya dharura vya CCM, vya Maadili na Kamati Kuu.
Tusubiri kuona iwapo kutakuwa na hatua kupitia vikao vya chama baada ya madai hayo ya kukataa kujiuzulu mwenyewe.
Kituo kinachofuata ni Gerson Msigwa.
Au post ya Millard AyoKituo kinachofuata ni Gerson Msigwa.