Tetesi: Mwigulu akataa kujiuzulu, kunafuka moto

Hicho kikao cha kibao kata au cha vigodoro?
 
Asijiudhuru, kuna watu wanachezea sana nchi. Mfano huu wa mafuta ya diesel na petrol..wanachezea sana akili za watanzania, nayeye akomae asikubali wahuni wamshinikize kujiudhuru, tunajua hawezi Fanya lolote kwenye huu uhuni ila asikubali kutii matakwa ya vibaka. Kufa kupo na Kila nafasi itaonja huo umauti asikubaliane na ujinga wowote hata kama unamnufaisha
 
Nyinyi mbulula wa vijijini mmebululwa na huyo myirambara kuwa ni msukuma baada ya kuiba cheti
mtu kazaliwa 1975 atamalizaje sekondari mwaka 2000
Vichwa boya nyinyi
Kwani wewe ni “makebo” au sio makebo?
 
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime.
Yote kwa yote hao acha wapasuane, damu ya wasio na hatia haijawahi kumuacha mtu salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…