We nawe ni bwege kweli. Tangu lini asiwe msukuma?
Nyinyi mbulula wa vijijini mmebululwa na huyo myirambara kuwa ni msukuma baada ya kuiba chetiWewe kweli ni makebo
mtu kazaliwa 1975 atamalizaje sekondari mwaka 2000
Vichwa boya nyinyi
We nawe ni bwege kweli. Tangu lini asiwe msukuma?
Nyinyi mbulula wa vijijini mmebululwa na huyo myirambara kuwa ni msukuma baada ya kuiba chetiWewe kweli ni makebo
Maybe anapooza engine kwa muda ili akija aje na Kasi mpya!Sasa mbona kapoa sana
Au naye kaweka safe house kama Nchimbie?
asa
Hata nchimbi na chongolo mambo yalianza hivi hivi kama mwigulu.ili kuamini huu ni upupu na utyoko,
Tangu lini nchemba ni msukuma
MNAMPA NCHI AU UCHI ?2030 tunampa nchi
Hicho kikao cha kibao kata au cha vigodoro?Mapya yameibuka katika sakata la video inayodaiwa kutengenezwa ili kumshinikiza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu. Anadaiwa kuwataka walioitengeneza waache kumtishia kuachia video nyingine na badala yake wamlete hata mwanamke ambaye picha yake inadaiwa kutumika kutengeneza video hizo, akisisitiza kuwa hatajiuzulu.
Kwa mujibu wa Mange, video hiyo ilitengenezwa kwa kutumia AI kwa lengo la kumwondoa Mwigulu, kwa namna tofauti na njia iliyotumika kumwondoa Nchimbi. Mange anadaiwa pia kuwa na taarifa kuhusu shinikizo la Mwigulu kutakiwa kujiuzulu, vinginevyo zingeachiwa video nyingine mbaya zaidi.
Taarifa hizo zinadai kuwa Mwigulu aliitwa Chamwino kwenye kikao kizito kilichohusisha tajiri, mtoto na watu wengine wenye ushawishi. Inadaiwa aliingia saa mbili na kutoka saa saba.
Kwa mujibu wa simulizi hizo, “Msukuma huyo kichwa chake ni Magufuli mtupu.” Anadaiwa kugoma kujiuzulu, kisha akaondoka na kuendelea na ziara zake.
Katika kikao hicho, anadaiwa kusema: “Msihangaike na video. Mleteni na mwanamke mliyetumia picha yake. Hakuna mtu wa kujiuzulu. Mimi si Chongolo. Najijua: sinywi pombe, sivuti bangi wala kutumia dawa za kulevya. Sina michezo hiyo, na sijawahi kwenda kwenye lodge hata kwa vikao.”
Taarifa hizo zinadai pia kuwa kikao kilivurugika bila mazungumzo kuendelea. Aidha, kuna madai ya kuitishwa kwa vikao vya dharura vya CCM, vya Maadili na Kamati Kuu.
Tusubiri kuona iwapo kutakuwa na hatua kupitia vikao vya chama baada ya madai hayo ya kukataa kujiuzulu mwenyewe.
Mchemba ni msukuma aluyezamia singida na kuiba jina la mtuili kuamini huu ni upupu na utyoko,
Tangu lini nchemba ni msukuma
Sasa kujua siri kwenye genge la ccm unategemea wanajali hao.Mwigulu atakuwa anajua siri nyingi sana hasa alipokuwa wizara ya fedha. Na hii inawaogopesha sana.
Kwani wewe ni “makebo” au sio makebo?Nyinyi mbulula wa vijijini mmebululwa na huyo myirambara kuwa ni msukuma baada ya kuiba cheti
mtu kazaliwa 1975 atamalizaje sekondari mwaka 2000
Vichwa boya nyinyi
La nchimbi lilianza hivihivi. Wengine wakasema ni uzushi, wengine wakasema ni tetesi lakini mwisho wa siku likadhihirikaLisemwalo lipo, kama halipo laja. Waswahili walisema.
2030 tunampa nchi
2030 tunampa nchi
MNAMPA NCHI AU UCHI ?
La nchimbi lilianza hivihivi. Wengine wakasema ni uzushi, wengine wakasema ni tetesi lakini mwisho wa siku likadhihirika
Kuna mwenye siri nyingi kwenye Taifa hili zaidi ya Katibu Mkuu wa CCM?Mwigulu atakuwa anajua siri nyingi sana hasa alipokuwa wizara ya fedha. Na hii inawaogopesha sana.