kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 161
- 280
Kila kukicha waziri mkuu amekuwa na wimbo mkuu wa " wanataka madini ya nchi yetu".
Sasa kama nchi ina URANIUM, Lakini mbona maisha ya watanzania hayaendani na rasilimali zilizopo? Au hizi rasilimali wanaoziona ni serikali tu.
Mbona maisha yetu hayaendani na "utajiri" wa rasilimali ambazo kila kukicha Waziri mkuu anautolea wimbo?
Nauliza tu