Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Jamaa ni mjinga sana.
Wajinga ni wengi kuliko wajanja, hivyo anajua fika akiendelea kuongea kuna mipuuzi itaamini.
Au unasemaje ndugu yangu HAYA LAND HOV
Aliefyatua risasi ndio alisababisha. Maana kama kuandamana hata samuya aliwahi kuruhusu watu waandamaneMIMI SIFATILII SANA SIASA KWA SASA ILA NINAPAMBANA NA HAWA WALISABABISHA MAUAJI YA NDUGU ZETU
TEGEMEA SIASA MPYA KUTOKEA HUYU NDO HAYA LAND (HOV)Aliefyatua risasi ndio alisababisha. Maana kama kuandamana hata samuya aliwahi kuruhusu watu waandamane
Yule hamna kituKila kukicha waziri mkuu amekuwa na wimbo mkuu wa " wanataka madini ya nchi yetu".
Sasa kama nchi ina URANIUM, Lakini mbona maisha ya watanzania hayaendani na rasilimali zilizopo? Au hizi rasilimali wanaoziona ni serikali tu.
Mbona maisha yetu hayaendani na "utajiri" wa rasilimali ambazo kila kukicha Waziri mkuu anautolea wimbo?
Nauliza tu
Wanaishi kwa Propaganda tuWamechukua serikali kimabavu mbele ya macho ya Dunia sasa sijui wanamdanganya nani?
Kichaa yuleKila kukicha waziri mkuu amekuwa na wimbo mkuu wa " wanataka madini ya nchi yetu".