Mwigulu: Awamu ya 5 kuna Kiongozi mkosoaji alishambuliwa ilionekane ni Serikali

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani.

Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

Na mpaka leo , serikali yenye resources zote imeshindwa kuwapata waliomfanyia hivyo “mtanzania mwenzetu“? Msingida mwenzako tobegin with???

Mwigulu come on!!!!!
Ni maajabu sana , na ni Tanzania pekee ndio mtu anapotea tunaambiwa kajiteka.

Hivi mtu huyo huyo anaweza kujivalisha pingu na kujipiga na kitako cha bunduki kuchafua hiyo anayoita "serikali"..?

Na huyo mwenye mabomu walisema ni mwanajeshi wa US, sasa watueleze walichukua hatua gani?
 
Wait, huyu ni waziri mkuu? Anatoa kauli za namna hii, yupo kwenye senses zake sawasawa? Na anajiita doctori? Dah bongo bahati mbaya kwa kweli…

Mungu saidia hii nchi aisee wameshindwa wenyewe weka mkono wako sasa kuamua destiny yao wameomba sana kwa kweli!
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani.

Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

Huyu kumbe ni mpumbavu hivi, sijui Samia kaona nini kwake hadi kumpa uwaziri Mkuu bwege kama huyu.
 
Wait, huyu ni waziri mkuu? Anatoa kauli za namna hii, yupo kwenye senses zake sawasawa? Na anajiita doctori? Dah bongo bahati mbaya kwa kweli…

Mungu saidia hii nchi aisee wameshindwa wenyewe weka mkono wako sasa kuamua destiny yao wameomba sana kwa kweli!
Kalishangaza taifa kwa kweli.

Cha ajabu kuna makofi yalisikika akipigiwa!

Mindset za waTz zipo chini kiasi hiki kweli!
 
Mwigulu: Awamu ya 5 kuna Kiongozi mkosoaji alishambuliwa ilionekane ni Serikali
Duh
Chizi kalogwa tena!

Hivi Serikali ya waongo hivi inaweza kuaminika vipi?

Kama Serikali haikuhusika kumshambulia Lissu, ni kwanini:
1. Wanamaombi waliovaa t shirts zilizoandikwa "Pray for Lissu" walikuwa wanakamatwa na kuzuiliwa na policcm??

2. RC wa Dodoma alitumbuliwa kwa kutozuia ndege kumpeleka Lissu akiwa mahututi Nairobi kwa dharura?

3. Cctv camera ziliondolewa chap ili kuficha ushahidi?
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani.

Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

Miziki mingine tunayotaka kucheza imetuzidi mno kiuwezo ni bora ukatengeza nyumba yako iwe salama.
 
Back
Top Bottom