Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ni maajabu sana , na ni Tanzania pekee ndio mtu anapotea tunaambiwa kajiteka.Na mpaka leo , serikali yenye resources zote imeshindwa kuwapata waliomfanyia hivyo “mtanzania mwenzetu“? Msingida mwenzako tobegin with???
Mwigulu come on!!!!!
Akina nani haoWaziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani.
Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Nani aliyeuia mshahara wake akiwa kwenye matibabuKama si serikali
Nani alitoa CCTV?
Walinzi?
Nani alizuia ripoti ya bunge isisomwe?
Huyu kumbe ni mpumbavu hivi, sijui Samia kaona nini kwake hadi kumpa uwaziri Mkuu bwege kama huyu.Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani.
Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Kalishangaza taifa kwa kweli.Wait, huyu ni waziri mkuu? Anatoa kauli za namna hii, yupo kwenye senses zake sawasawa? Na anajiita doctori? Dah bongo bahati mbaya kwa kweli…
Mungu saidia hii nchi aisee wameshindwa wenyewe weka mkono wako sasa kuamua destiny yao wameomba sana kwa kweli!
DuhMwigulu: Awamu ya 5 kuna Kiongozi mkosoaji alishambuliwa ilionekane ni Serikali
Miziki mingine tunayotaka kucheza imetuzidi mno kiuwezo ni bora ukatengeza nyumba yako iwe salama.Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani.
Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Kuianza kuuliza maswali magjmu kama haya.Kama si serikali
Nani alitoa CCTV?
Walinzi?
Nani alizuia ripoti ya bunge isisomwe?
Hao wapiga makofi itakuwa ni kundi la machawa kama Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, nk, siyo WaTz wazalendoCha ajabu kuna makofi yalisikika akipigiwa!
Mindset za waTz zipo chini kiasi hiki kweli!