Mwigulu: Cement bei juu kwa sababu ya vita ya Ukraine na Urusi

Huyu ni waziri mbovu kabisa kuwahi kutokea
 
 
Bia licha ya kuwa na inelastic demand lakini ina substitute na wazalishaji ni wengi kuliko cement..

By the way malighafi na gharama za usafirishaji zimeongeza bei ya saruji..
 
Mwigulu hajawahi kuwa na nia njema na yeyote na chochote!
Bei tunajua imepanda... ila kila kitu kuisingizia Urusi na Ukraine ni upuuzi. Bila kutuambia nchi inafanya kujikwamua ni dalili za kushindwa uongozi!
Wapunguze matumizi yao ya anasa...
Yeye kuna V8 haizimwi hata kwa dak 5 muda wote ipo silence
 
Cement ilipanda kabla ya Vita kuanza.
 
Hahaha. Inachekesha lakini wakati huo huo inatia hasira. Unawaomba wazalishaji wapunguze gharama!?
Mimi naona tu viwanda vihamie Tanzania!
 
Hivi kweli unapunguza bei ya cement kwa kutoa rai kwa makampuni husika? Watamsikiliza kweli? Inahitajika strategic revisions za monetary na fiscal policies. Mbolea, cement, nondo, mafuta ya kula vilipanda tangu mwaka Jana. Tunaambiwa Ukraine. Inatia hasira
 
Yeye kuna V8 haizimwi hata kwa dak 5 muda wote ipo silence
Ushamba huu alikua nao Saada Mkuya.
Kuna siku ningekwenda graduation pale ITA yeye alikua mgeni rasmi wakati huo waziri wa fedha.
V8 haikuzimwa kipindi chote Cha mahafali eti akiingia akute unarudi.
Huo ni ushamba wa Hali ya chini kabisa karibu na kuzimu.
 
Kwani Ukr haijachangia? Tuwekee hapa hizo strategic za monetary na fiscal policies 😆😆..

Kwamba wewe ndio unazijua yaani kuzidi wachumi wote wa.serikali sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…