The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sasa ndio bei kubwa hiyo kweli wakati Katavi huku ni 18500-1900?Huixin 16000
Simba 15000
Arusha
Nimetoka nunua mda c mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndio bei kubwa hiyo kweli wakati Katavi huku ni 18500-1900?Huixin 16000
Simba 15000
Arusha
Nimetoka nunua mda c mrefu
Makaa ya mawe yapo Tanzania, gesi asilia ipo Tanzania, kwa kuchoma Material za cement.... ni kama walikuwa wanaombea vita ya Ukraine itokee ili utetezi upatikane! Bei ya cement na vifaa vya ujenzi ilianza kupaa hata kabla ya vita.
Kumbe vipo Ukraine !!?
"...gharama za cement zimeendelea kupanda kila mara na hilo la vita ya Ukraine na Urusi ndilo limeongeza changamoto ya kupanda kwa bei..."
"...nimewataka wadau waone namna bora ya kupunguza gharama kupanda mara kwa mara kwa maslahi ya wananchi wetu."
Amesema Mwigulu.
Nb: Tanga cement na Dangote cement si mhamishie viwanda vyenu Tanzania ili bei ya cement ipungue?!
Huu uchochoro wa sababu "vita ya Ukraine na Russia......",kautengeneza mama kuanzia mawaziri, watendaji na wafanyabiashara wakubwa wanapita nao wakiuliza ni mwendo wa kukopi na kupesti "vita ya Ukraine na Russia.....".Mpaka unajiuliza Zanzibar wao wame fanyaje fanyaje au labda wapo Sayari nyingine.
"...gharama za cement zimeendelea kupanda kila mara na hilo la vita ya Ukraine na Urusi ndilo limeongeza changamoto ya kupanda kwa bei..."
"...nimewataka wadau waone namna bora ya kupunguza gharama kupanda mara kwa mara kwa maslahi ya wananchi wetu."
Amesema Mwigulu.
Nb: Tanga cement na Dangote cement si mhamishie viwanda vyenu Tanzania ili bei ya cement ipungue?!
Ndiyo CCM wanapenda hivyoUshamba huu alikua nao Saada Mkuya.
Kuna siku ningekwenda graduation pale ITA yeye alikua mgeni rasmi wakati huo waziri wa fedha.
V8 haikuzimwa kipindi chote Cha mahafali eti akiingia akute unarudi.
Huo ni ushamba wa Hali ya chini kabisa karibu na kuzimu.
Malighafi zote zipo tzMakaa ya mawe yapo Tanzania, gesi asilia ipo Tanzania, kwa kuchoma Material za cement.
Materials zakutengeneza cement limestone,clay ipo Tanzania.
Labda kwa ufahamu wake Ukraine ipo Tanzania .
Kuna mtu namjua na Ana kiwanda chake cha uzushi yy anatengeneza mikanda ya gypsum ya nyumbaMakaa ya mawe yapo Tanzania, gesi asilia ipo Tanzania, kwa kuchoma Material za cement.
Materials zakutengeneza cement limestone,clay ipo Tanzania.
Labda kwa ufahamu wake Ukraine ipo Tanzania .
gari halina dereva
"...gharama za cement zimeendelea kupanda kila mara na hilo la vita ya Ukraine na Urusi ndilo limeongeza changamoto ya kupanda kwa bei..."
"...nimewataka wadau waone namna bora ya kupunguza gharama kupanda mara kwa mara kwa maslahi ya wananchi wetu."
Amesema Mwigulu.
Nb: Tanga cement na Dangote cement si mhamishie viwanda vyenu Tanzania ili bei ya cement ipungue?!
Viraza a.k.a mizigo squareSijawahi kuona waziri mzigo kama Mwigulu. Sijui Mama alimuokota wapi huyu kilaza jamani!!!
We nawe kumbe unakubali hoja za kitoto eti cement na nondo zimepanda kwa sababu ya vita ya Ukraine? Unajidhalilisha.Kwani Ukr haijachangia? Tuwekee hapa hizo strategic za monetary na fiscal policies [emoji38][emoji38]..
Kwamba wewe ndio unazijua yaani kuzidi wachumi wote wa.serikali sio?
Jibu hoja hapo juu maana naona umekurupuka hata hujamsikiliza Waziri..We nawe kumbe unakubali hoja za kitoto eti cement na nondo zimepanda kwa sababu ya vita ya Ukraine? Unajidhalilisha.
Kuhusu policies, wao ndiyo wanalipwa kwa ajili ya kubuni hizo policies ili Uchumi uweze kukabiliana na huo mfumuko wa bei. Hebu tuambie wewe Ukraine imechangiaje siyo kufata mkumbo
Ndugu yangu huelewi? Ndiyo amewapa rai wafanyabiashara wasipandishe bei. Saa nyengine hivi vitu unatumia rai tuHapa tumeingizwa Cha kike.
muulizeni anajua Bei za jumla za vifaa vya ujenzi?
Watu wanajipandishia Bei wanavyotaka wao.
Nilitoa mfano wa nondo za 12 mm tani moja ni 2,000,000 zinakaa PC's 94.
Ukigawanja unapata 21,000+ kwa PC's 1.
Lakini nondo mtaani inauzwa 26,000 mpaka 27,000
Nani wa kuangalia hizi Bei?
Au wafanyabiashara wanajiamulia tu.
Na Samia alishakubali Bei zipande
Hivyo hii ni Serikali ya kungoja sababu?Kwa hiyo kwani sababu za kupanda hazikuwepo?