Sijaona hoja yoyote uliyotoa. Weka na wewe ushahidi kuonesha kwamba vita ni catalyst ya kupandisha Bei. Unachanganya bei ya mafuta na Bei za bidhaa nyengine kama mbolea, mafuta ya kula, vifaa vya ujenzi ambavyo vilipanda tangu October mwaka jana. Una justify vipi issue yako ya Ukraine?Jibu hoja hapo juu maana naona umekurupuka hata hujamsikiliza Waziri..
Vita imekuwa catalyst kwenye bei zilizoongezeka coz of covid 19, mbona mnakuwa vilaza hivyo?
Aisee kweli kuna Kazi unakuta na wewe ni msomi unataka serikali ikuajiri uwe think tank ππππππSijaona hoja yoyote uliyotoa. Weka na wewe ushahidi kuonesha kwamba vita ni catalyst ya kupandisha Bei. Unachanganya bei ya mafuta na Bei za bidhaa nyengine kama mbolea, mafuta ya kula, vifaa vya ujenzi ambavyo vilipanda tangu October mwaka jana. Una justify vipi issue yako ya Ukraine?
Sio tuj ungoje zinakuja automatically na zinato nje ni kama kuvamiwaHivyo hii ni Serikali ya kungoja sababu?
Uko sahihi kabisa, huyu waziri wa fedha hafai kabisa ni aibu kwa nchi ! Viwanda vya cement vinatumia mali ghafi nyingi zipatikanazo nchini zikiwa no kutumia gesi badala ya umeme kwenye hivyo viwanda! Sasa huyo Mwigulu atuambie kwa mfano kiwanda cha Twiga Cement kina agiza mali ghafi gani toka Ukraine hata bei ya bidhaa zake zipande bei kiholela?Ni kweli kasema hayo!??! Au mnamlisha maneno bwana fedha. Nijuavyo cement na nondo zimeanza kupanda bei kitambo sana. Lakini pia ingridients zinazotumika kuzalisha cement kwa sehemu kubwa zinapatikana hapa hapa Tanzania!!! Au kuna mambo mi sijui?!?
Usicheke cheke jibu hoja viwanda vya cement vinaiport mali ghafi gani toka Ukraine to justify price increases? Remember kuna viwanda vya cement vinatumia gesi ya hapa hapa nchini!Aisee kweli kuna Kazi unakuta na wewe ni msomi unataka serikali ikuajiri uwe think tank ππππππ
Kwa kutumia vigezo gani kuwa iuzwe hiyo bei?Cement bongo ilitakiwa iuzwe 7000 kwa mfuko
Ova
Hii serikali iko arrogant kweli.
"...gharama za cement zimeendelea kupanda kila mara na hilo la vita ya Ukraine na Urusi ndilo limeongeza changamoto ya kupanda kwa bei..."
"...nimewataka wadau waone namna bora ya kupunguza gharama kupanda mara kwa mara kwa maslahi ya wananchi wetu."
Amesema Mwigulu.
Nb: Tanga cement na Dangote cement si mhamishie viwanda vyenu Tanzania ili bei ya cement ipungue?!
Ndugu yangu huelewi? Ndiyo amewapa rai wafanyabiashara wasipandishe bei. Saa nyengine hivi vitu unatumia rai tu