Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mdau wa michezo, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Waziri wa Fedha, ameeleza matamanio yake ya kuona kiungo wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars", Feisal Salum (Fei Toto) akiichezea klabu ya Singida Big Stars baada ya kuvitumikia vilabu vya Yanga, Azam na Simba.
"Mwanangu buana, Ulifunga goli la muhimu sana katika mechi muhimu sana Jana. Anyway hii ni kawaida yako, ndivyo ulifanya ukiwa mitaa ya Jangwani, ndivyo unaendelea kufanya mitaa ya Chamazi".
Ulishafanya makubwa Jangwani na Chamazi, mwanangu kwani vipi ukimaliza kabisa mitaa yote Dar es Salaam yaani mpaka mtaa wa Msimbazi kabla ya kuja Singida? Si Baba kasema? Congrants my "Dkt Mwigulu Nchemba!
Fei Toto kabla ya kujiunga na Yanga mwaka 2018 alitokea klabu ya Singida ambayo ilimsajili kutoka JKU ya Zanzibar na kutimkia Azam FC mwaka 2022 ambako alisaini mkataba wa miaka mitatu baada ya kufikia makubaliano na Azam Football Club kuhusu uhamisho wa kiungo huyo baada ya majadiliano kati ya pande hizo mbili kukamilika.
Wadau uchambuzi kwa ufupi sana tafadhali
Soma:
==> Feisal amevuta milioni 90 kutoka kwenye klabu yake ya Azam baada ya kufunga magoli 19 ya ligi kuu
==> Wakati Feisal anawafanyia Yanga uhuni mashabiki wengi wa simba walimsuport haya sasa imetokea kwa Kibu Dennis wamsuport
==> Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.