Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kabisa kabisa...Naskia walio karibu nae wanasema hapendi mazoezi magumu, ila binafsi naamini feisal akipata ivo vitu viwili alivyoainisha mdau hapo ( nguvu na kasi) atakuwa hashikiki na atakuwa tajiri akishastaafu mpira