Mdau wa michezo, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Waziri wa Fedha, ameeleza matamanio yake ya kuona kiungo wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars", Feisal Salum (Fei Toto) akiichezea klabu ya Singida Big Stars baada ya kuvitumikia vilabu vya Yanga, Azam na Simba.
"Mwanangu buana, Ulifunga goli la muhimu sana katika mechi muhimu sana Jana. Anyway hii ni kawaida yako, ndivyo ulifanya ukiwa mitaa ya Jangwani, ndivyo unaendelea kufanya mitaa ya Chamazi".
Ulishafanya makubwa Jangwani na Chamazi, mwanangu kwani vipi ukimaliza kabisa mitaa yote Dar es Salaam yaani mpaka mtaa wa Msimbazi kabla ya kuja Singida? Si Baba kasema? Congrants my "Dkt Mwigulu Nchemba!
Your browser is not able to display this video.
Fei Toto kabla ya kujiunga na Yanga mwaka 2018 alitokea klabu ya Singida ambayo ilimsajili kutoka JKU ya Zanzibar na kutimkia Azam FC mwaka 2022 ambako alisaini mkataba wa miaka mitatu baada ya kufikia makubaliano na Azam Football Club kuhusu uhamisho wa kiungo huyo baada ya majadiliano kati ya pande hizo mbili kukamilika.
Fei ana skills ila hana nguvu hana Kasi na ivyo ni vitu vya msingi Sana Kwa mpira wa level za juu.
Ili awe na thamani anahitaji kua na vitu hivyo si Fei pekeyake karibia asilimia 90 ya wachezaji wetu wanakosa Nguvu na Kasi.

Wachezaji Jamii ya Kibu wapo wengi ulaya, makocha wakisasa Wanahitaji uharaka na Nguvu na kufuata maelekezo na ndicho wanacho tuzidi watu wa Afrika magharibi kwa miaka mingi.