Dolla inakimbilia elfu 3,vitu vingine aachane navyo kwani havimuhusu.
 
Sijui Yanga watamove on lini chuki wanayoionyeaha Kwa huyu KIJANA haina Afya Kwa maslahi mapana ya Nchi. Simba sijawahi kusikia wanashoboka na wachezaji waliondoka hata Tu kuwataja. Ingekuwa Chama ndio katoka Yanga kuja Simba angejuta. Ukomavu WA Simba ni WA level ya juu.
 
Halafu TFF hawajui kuwa Kuna mtu ni mdhamini wa yanga wakati huohuo anamiliki timu timu nyingine.
 
Fei ana skills ila hana nguvu hana Kasi na ivyo ni vitu vya msingi Sana Kwa mpira wa level za juu.
Ili awe na thamani anahitaji kua na vitu hivyo si Fei pekeyake karibia asilimia 90 ya wachezaji wetu wanakosa Nguvu na Kasi.
Hivi kwann wachezaj wa Tanzania hawana kasi uwanjani?
 
Lakini nasikia mnamtamani sana Fei Toto wanalunyasi
Ni kweli, na ilibaki kidogo tu. Kama sio yule CEO wao kuendekeza Uyanga wake, shughuli ingeshaisha. Fei alishaanza kuwaaga wenzake.

Ova
 
Anatakiwa ale chakula kigumu...na afanye mazoezi kama wenzie kina Pacome na tshabalala kwa trainer kama Denzel...
Naskia walio karibu nae wanasema hapendi mazoezi magumu, ila binafsi naamini feisal akipata ivo vitu viwili alivyoainisha mdau hapo ( nguvu na kasi) atakuwa hashikiki na atakuwa tajiri akishastaafu mpira
 
Huyu si alimtoa Feisal kama zawadi zamani?
 
Watanganyika wanachezeshwa ngoma ya mpira wao wanaiba kodi zenu. Pia kusaulisha tukio la kikatili serikali kuteka mpk kuua mzee kibao.
 
Nipo naye hapa, kasema harudi huko Singida tena
 
Anatakiwa ale chakula kigumu...na afanye mazoezi kama wenzie kina Pacome na tshabalala kwa trainer kama Denzel...
Mpaka Leo kuna mtanzaniq wanamentality kamanzakonzq chalilq kigumu....shida pp09
 
Umeandika nini sasa...??
Ww mwanao mchanga anakula chakula kigumu au kilaini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…