Mwigulu: Hazina iko mikono Salama

Mwigulu: Hazina iko mikono Salama

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Amesikika waziri Mwigulu kuwa hazina yetu iko salama na zaidi sana Iko mikono salama:

Kwa mwendo huu waziri Mwigulu analenga kusema nini hasa?

FtHA4BjXwAEJB4j.jpeg

FtDX74wX0AQK8IT.jpeg

FtFXwp_WcAENXf6.jpeg

FtC4e3SWIA8yfpz.jpeg

Na kadhalika na kadhalika hadi chefu.
 
Alichosema Mwigulu ni sawa na kumpa mwizi pesa zako akulindie halafu unakuja kumuuliza kama zipo salama...

-Yes, zipo kwenye mikono salama kabisa mkuu!.
 
Kweli iko salama kwa maandalizi ya Uchaguzi
Sijui anamwambia nani hapo
 
Aaa wapi iko kwenye mikono ya wezi [emoji2962]
Hivi Mwenye Enzi Mungu lini uta sikia ukelele wa kilio chetu Watanzania, eeh Rabuka wetu muumbaji wa vitu vyote tunavyo viona na tusivyo viona tuna kuomba uji tokeze tena ufanye mambo ya miujiza tena katika nchi yetu ya Tanzania [emoji1241]
Tuna kunyoshea mikono yetu kwa kulia [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Tuokoe ehh Mola wetu[emoji31][emoji31][emoji31]
 
Nchi ngumu sana hii!!!
Wasomi wanaongoza kwa upumbavu
Hivi unadai billion kadhaa halafu unaemdai humjui? Hata mtu ambae hakwenda shule hawezi kuwa mjinga hv

Hii ndiyo wanasema tumepigwa
 
Alichosema Mwigulu ni sawa na kumpa mwizi pesa zako akulindie halafu unakuja kumuuliza kama zipo salama...

-Yes, zipo kwenye mikono salama kabisa mkuu!.

Mwizi hata akiiba huwa haoni kuwa anaiba.

IMG_20211119_091739_123.jpg

Yeye huona kachukua na kuchukua siyo kuiba.
 
Aaa wapi iko kwenye mikono ya wezi [emoji2962]
Hivi Mwenye Enzi Mungu lini uta sikia ukelele wa kilio chetu Watanzania, eeh Rabuka wetu muumbaji wa vitu vyote tunavyo viona na tusivyo viona tuna kuomba uji tokeze tena ufanye mambo ya miujiza tena katika nchi yetu ya Tanzania [emoji1241]
Tuna kunyoshea mikono yetu kwa kulia [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Tuokoe ehh Mola wetu[emoji31][emoji31][emoji31]

Kazi kumwachia Mungu si sahihi.

Screenshot_20230322-230708.jpg

Kinachotakiwa hapa si kumlilia Mungu bali kusimama tu na kuondoka chini ya meza.

Tulipo tunamsubiri Mungu atutoe chini ya meza. Kwa hakika huko ni zaidi ya dua la kuku.
 
Tena huyo trab na trat ndio mwizi namba moja akifatiwa na jamaa moja linatoka bumbuli, bibi mkuu anawajua ila anamuogopa mwamba wa msoga, kwa ufupi tumeliwaa na hawagusiki doraaa inawalinda
 
Wapigaji wa awamu hii na ya tano wanatoroshea fedha South Afrika China na kwengineko tofauti na Wapigaji wa awamu zilizopita kama 4,5

Ndio maana mzunguko wa fedha mitaani ni mdogo meno.
 
Tena huyo trab na trat ndio mwizi namba moja akifatiwa na jamaa moja linatoka bumbuli, bibi mkuu anawajua ila anamuogopa mwamba wa msoga, kwa ufupi tumeliwaa na hawagusiki doraaa inawalinda

Chini ya meza dawa yake ni kuinuka.

Nje ya sufuria dawa yake ni kuliinjika kwenye mafiga na kuchochea mto.
 
Wapigaji wa awamu hii na ya tano wanatoroshea fedha South Afrika China na kwengineko tofauti na Wapigaji wa awamu zilizopita kama 4,5

Ndio maana mzunguko wa fedha mitaani ni mdogo meno.

Bila ya kuwapelekea moto wa kueleweka hawa watu waelewe vipi watu hawa kuwa wanazotumbua si mali zao?
 
Back
Top Bottom