Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lini pengine ulishawahi kuwa na Akili?Utakuwa kilaza sana mletauzi
Hujajisaidia Vima?Nimeishia kucheka tu
Dogo kwani wewe umeshahesabu nyota ngapi za ndimila ?Ni lini pengine ulishawahi kuwa na Akili?
Nimewahi tu Kushuhudia ukitibiwa bila Mafanikio Ugonjwa wako wa Akili.Dogo kwani wewe umeshahesabu nyota ngapi za ndimila ?
Kwa taarifa yako na wengine wote, ni kuwa hiyo sarafu ya sh.20 IPO! Sarafu ya sh.10 IPO na hata ya sh.5 IPO! Tatizo ni kwamba hazina kazi sana katika mzunguko wa pesa na biashara ndio maana huzipati. Nenda Benki Kuu ya Tanzania upate taarifa zaidi; in fact hata kwenye website ya BOT kuna taarifa za hizo pesa.Na kama Benki Kuu ilishaondoa katika Mzunguko matumizi ya Sarafu ya Tsh 20 imekuwaje katika Makusanyo ya Mwezi ya Tsh 48,489,225,670 kukawepo hii Tsh 70?
Tsh 50 ya Sarafu najua ipo ila Tsh 20 ya Sarafu haipo tena je, hapa imeingiaje katika Mahesabu? Na kama Sarafu ya Tsh 20 haipo tena kwanini imejumuishwa katika Mahesabu / Takwimu ya jumla iliyotajwa na Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba?
Nitashukuru tu nikielimishwa juu ya hili.
Atajibu kwa jazba we subiriAkikujibu nakuomba Unitagi tu Ndugu.
Unanifahamisha, Unanielimisha au Unanisuta Ndugu?Kwa taarifa yako na wengine wote, ni kuwa hiyo sarafu ya sh.20 IPO! Sarafu ya sh.10 IPO na hata ya sh.5 IPO! Tatizo ni kwamba hazina kazi sana katika mzunguko wa pesa na biashara ndio maana huzipati. Nenda Benki Kuu ya Tanzania upate taarifa zaidi; in fact hata kwenye website ya BOT kuna taarifa za hizo pesa.
Nasubiri.Atajibu kwa jazba we subiri
Mtu anapopewa au anapotoa TAARIFA ni kwa nia gani!?Unanifahamisha, Unanielimisha au Unanisuta Ndugu?
Kwa Akili zako za Upumbavu wako wa Kurithishwa ni lazima tu uelewe hivyo.Dah mleta mada kavuliwa bukta hadharani halafu bukta yenyewe ina matunda kwenye makalioni
Asante kwa hii Elimu Kubwa. Ubarikiwe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani hebu acheni kumsema vibaya mleta mada. Si kila mtu katika safari ya elimu alijifunza vema.
Okay, ndugu mleta uzi ni hivi. Hapa unachokizungumzia kinapatikana katika topic ya currency au money physical representation. Yaani namna kitu kinawekwa kwenye hali ya kushikika.
Pesa ni kitu chenye thamani ya kufikirika na si halisi kama vile wewe na mimi. Yaani thamani yake ni ya muda fulani tu na hivyo hata uwepo wake au uumbaji wake hutegemea uhitaji wake katika nyakati fulani tu.
Kwa mfano kuna sarafu ambazo miaka hiyo zilikuwako ila kwa sasa hazina maana wala thamani sababu muda wake wa kuhitajika umeshakwisha.
Sasa nikirejea kukujibu ni kwamba pesa ili iwe presented physically ni lazima kuwe na uhitaji wake katika mzunguko. Gharama za transactions ndizo zinaamua pesa ipi na ipi itakuwa katika mzunguko.
Tazama sasa hivi kuna mfumuko wa bei wa kiwango cha kati ambao unafanya sarafu chini ya tsh. 500 ziwe ni mzigo tu katika uchumi sababu bidhaa na huduma at minimum most of them huanzia bei ya tsh 500. Ndio maana hata ukipanda daladala ya route fupi ya shillingi 450 unajikuta haudai chenji yako ya shillingi 50 kwasababu unajua haina impact katika budget zako.
So inakuwa ngumu sana kwa serikali kuingia gharama kutengeneza kitu ambacho hakihitajiki kwenye mzunguko.
Hiyo tsh 20 ina thamani katika digital form ila sio katika physical form.
Umeuliza swali la sh.70 ilipotokea kana kwamba ni punda ndio umeuliza.Hata mtoto wa shule ya msingi kule kakonko hawezi uliza swali kama juha weweKwa Akili zako za Upumbavu wako wa Kurithishwa ni lazima tu uelewe hivyo.
Dunce.Umeuliza swali la sh.70 ilipotokea kana kwamba ni punda ndio umeuliza.Hata mtoto wa shule ya msingi kule kakonko hawezi uliza swali kama juha wewe
Ona ulivyoumbuka,umekodoa macho mithili ya mtu aliyegundua suruali yake imeraruka makalioni akiwa kariakoo katikati ya umatiDunce.
Sawa lkn uki present kwa watu lazima imake sense,kiujumla waziri alikoseaDigital Currency sio sawa na physical notes and coins!
Digital currency ina hesabu from 0-9 with decimal fragments. Hivyo ni kawaida kukuta hizo namba .1 mpaka .9 mbele ya tarakimu za pesa!