Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Unamuomba naniliu Chijo!??Anaitwa Profesa nani Mkuu? Leo nina 'Kaziara' kangu binafsi hapo UDSM kuna 'Intellectual' Mmoja namwomba 'naniliu' huu sasa Mwezi wa Saba ( 7 ) na haeleweki tu.
Ni wakati muafaka sasa vyuo viwe vinawavua pHD za watu kama hawa waliofanyiwa thesis kwenye steshenari za pale survey / Karibu na UDSM.Tafadhali mno kama Wewe Profesa upo hapa JamiiForums ( na naamini upo ) hebu jitokeze ili angalau basi GENTAMYCINE nikuulize Maswali yangu 'Kuntu' kuhusu 'Candidate' wako Mwigulu Nchemba ( Waziri )
Kwani nahisi huenda hata nawe wakati unasahihisha 'Doctorate Thesis' yake ulikumbana na 'Mauzauza' yake mengi ya Kitaaluma ambayo kayahamishia Wizarani ( Serikalini ) na sasa Wananchi 'tunataabika' nae tu Kimaamuzi.
Hizi ndiyo hazina za CCMhuyo ashawahi kumbambikia kesi ya ugaidi lwakatare wakati hata tafsiri ya neno ugaidi haijuwi.
ashawahi kuongoza kikundi cha kumwagia watu tindikali uchaguzi wa 2020.
kwa ufupi the guy is insane huyo mama nae sijui alipata wapi guts za kumteua kuwa waziri tena wa fedha?
Hivi bongo tuna wasomi kweli.Zaidi ya walimu tu tena wa sekondari tu ndo wameisaidia hii nchi hata kupata uhuru kaja mwalimu Meko nae kasaidia ila hii inayojiita propesa wamejaza mavi kichwani.Ana PhD ila uwezo wake kama ana certificate ya masomo ya biashara kaharibu kweli huko kaweka mzigo wa kodi kila sehemu yeye ni ku copy kodi za ulaya na kuweka kwenye bunge lao la Dodoma hakuna waziri hapo...
Prof. Kabudi alikuwa mmoja wapoTafadhali mno kama Wewe Profesa upo hapa JamiiForums ( na naamini upo ) hebu jitokeze ili angalau basi GENTAMYCINE nikuulize Maswali yangu 'Kuntu' kuhusu 'Candidate' wako Mwigulu Nchemba ( Waziri )
Kwani nahisi huenda hata nawe wakati unasahihisha 'Doctorate Thesis' yake ulikumbana na 'Mauzauza' yake mengi ya Kitaaluma ambayo kayahamishia Wizarani ( Serikalini ) na sasa Wananchi 'tunataabika' nae tu Kimaamuzi.
apitishe thesis akoooeeeee😂 miez 7, kweli wewe mvumilivu na utakula mbivuuuAnaitwa Profesa nani Mkuu? Leo nina 'Kaziara' kangu binafsi hapo UDSM kuna 'Intellectual' Mmoja namwomba 'naniliu' huu sasa Mwezi wa Saba ( 7 ) na haeleweki tu.
Mwigulu na kabudi hawakufaa kuteuliwa kuwa mawaziri.Mpango naye kuwa makamu wa Rais ni janga linginehuyo ashawahi kumbambikia kesi ya ugaidi lwakatare wakati hata tafsiri ya neno ugaidi haijuwi.
ashawahi kuongoza kikundi cha kumwagia watu tindikali uchaguzi wa 2020.
kwa ufupi the guy is insane huyo mama nae sijui alipata wapi guts za kumteua kuwa waziri tena wa fedha?
gharama alizotumia kupiga machata nchi nzima ndio anazirudisha sasaNani aliwaambia msimpe uraisi 2015?
kisasi juu ya kisasi.
Jamaa kawekwa kwenye chungu, atadokoa nyama zote na kutuachia mifupa tu!huyo ashawahi kumbambikia kesi ya ugaidi lwakatare wakati hata tafsiri ya neno ugaidi haijuwi.
ashawahi kuongoza kikundi cha kumwagia watu tindikali uchaguzi wa 2020.
kwa ufupi the guy is insane huyo mama nae sijui alipata wapi guts za kumteua kuwa waziri tena wa fedha?
hazina akili za ccmHizi ndiyo hazina za CCM