Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Ana PhD ila uwezo wake kama ana certificate ya masomo ya biashara kaharibu kweli huko kaweka mzigo wa kodi kila sehemu yeye ni ku copy kodi za ulaya na kuweka kwenye bunge lao la Dodoma hakuna waziri hapo...