Honorable Minister for Finance (Phd) who cannot even calculate the basic principles of shift in demand..! The quantity demanded (qD) is a function of five factorsβprice, buyer income, the price of related goods, consumer tastes, and any consumer expectations of future supply and price. As these factors change, so too does the quantity demanded.Tafadhali mno kama Wewe Profesa upo hapa JamiiForums ( na naamini upo ) hebu jitokeze ili angalau basi GENTAMYCINE nikuulize Maswali yangu 'Kuntu' kuhusu 'Candidate' wako Mwigulu Nchemba ( Waziri )
Kwani nahisi huenda hata nawe wakati unasahihisha 'Doctorate Thesis' yake ulikumbana na 'Mauzauza' yake mengi ya Kitaaluma ambayo kayahamishia Wizarani ( Serikalini ) na sasa Wananchi 'tunataabika' nae tu Kimaamuzi.
Katika watu incompetent nchi hii imewahi kuwashuhudia Mwigulu ni namba moja.Ana PhD ila uwezo wake kama ana certificate ya masomo ya biashara kaharibu kweli huko kaweka mzigo wa kodi kila sehemu yeye ni ku copy kodi za ulaya na kuweka kwenye bunge lao la Dodoma hakuna waziri hapo...
Meco kasaidia nini ?Hivi bongo tuna wasomi kweli.Zaidi ya walimu tu tena wa sekondari tu ndo wameisaidia hii nchi hata kupata uhuru kaja mwalimu Meko nae kasaidia ila hii inayojiita propesa wamejaza mavi kichwani.
Kama baba/mama mwendawazim usitegemeh watoto wakaw salamaEti!??? Bi Mkubwa wenu ndiye nongwa!!!
Uongo wako huu wa kishamba ni mashetani pekee ndio wanaoweza kuuamini, sawa!??? Kumbe wewe hujawahi kuona mwanamke mwendawazimu akamzaa Injinia ama daktari!? Au ulikulia Planet Mars!? Bi Mkubwa ni nongwa na nusu, hilo halina upinzani. Lakini hiyo haina maana kwamba watu wote ni madumu matupu, sawa!? π π πkama baba/mama mwendawazim usitegemeh watoto wakaw salama
Hakuna UTAWALA WA UWAJIBIKAJI TANZANIA ukivurunda unahamishiwa Wizara nyingineSihitaji kuandika maneno mengi sana juu ya hili.
Suala la kilichoitwa makato ya mshikamano,Mwigulu kwa misimamo aliyoonyesha ninamshangaa kwa kauli aliyoitoa jana kwamba amepokea maelekezo kutoka kwa Mh. Rais. Mwigulu umewaangusha wapiga kura wako, siwalimuunga mkono Mh. Rais? Tunataka kuwasikia wakimwambia Mh. Rais aache makato yaendelee. Aibu sana kwako Mwigulu huna huruma na watanzania.
Ukiwa unapigiwa zumari na mpambe namba mbili juu ya hili Ummy. Yani yule waziri amekaa kipropaganda zaidi kuliko uhalisia. Ujenzi wa madarasa, barabara nk ndio vifanye kuwe na kodi ya kuwaumiza wananchi. Aibu yako Ummy.
Mpaka sasa Ummy na Mwigulu kama wanajielewa kisiasa wanapaswa Kujiuzulu. Mama amewapuuza na propaganda zao
engenia umebishaUongo wako huu wa kishamba ni mashetani pekee ndio wanaoweza kuuamini, sawa!??? Kumbe wewe hujawahi kuona mwanamke mwendawazimu akamzaa Injinia ama daktari!? Au ulikulia Planet Mars!? Bi Mkubwa ni nongwa na nusu, hilo halina upinzani. Lakini hiyo haina maana kwamba watu wote ni madumu matupu, sawa!? π π π
Naona Msukuma ataacha kupeleka watoto shule kwa dizaini hii!Wasomi wengi n darasani tu kukariri. Nje ya darasa zero. Tunahitaji watu wenye akili weng kuliko wasomi
Mwigulu Amelewa MADARAKAJeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.