Mwigulu, it's enough. You MUST resign!
Kumbuka shule inafundisha kukumbuka Sana kuliko kufikiria vitu vya mbeleni hii inasaidia mtu kupata uwezo wa kufikiri vitu vya mbeleni. Lkn wasomi wengi wabauwezo wa kukumbuka na siyo kufikiria vitu vya mbeleni

Kwa hiyo huna haja ya kuhukumu elimu aloipata
 
Tafadhali mno kama Wewe Profesa upo hapa JamiiForums ( na naamini upo ) hebu jitokeze ili angalau basi GENTAMYCINE nikuulize Maswali yangu 'Kuntu' kuhusu 'Candidate' wako Mwigulu Nchemba ( Waziri )

Kwani nahisi huenda hata nawe wakati unasahihisha 'Doctorate Thesis' yake ulikumbana na 'Mauzauza' yake mengi ya Kitaaluma ambayo kayahamishia Wizarani ( Serikalini ) na sasa Wananchi 'tunataabika' nae tu Kimaamuzi.
Honorable Minister for Finance (Phd) who cannot even calculate the basic principles of shift in demand..! The quantity demanded (qD) is a function of five factors—price, buyer income, the price of related goods, consumer tastes, and any consumer expectations of future supply and price. As these factors change, so too does the quantity demanded.

He must resign unconditionally. The cause of action is the "Failure to calculate the worst economic impact of the very first weeks of the 2021/2022 budget". SSH, SHOW HIM THE DOOR....
 
Sihitaji kuandika maneno mengi sana juu ya hili.

Suala la kilichoitwa makato ya mshikamano,Mwigulu kwa misimamo aliyoonyesha ninamshangaa kwa kauli aliyoitoa jana kwamba amepokea maelekezo kutoka kwa Mh. Rais. Mwigulu umewaangusha wapiga kura wako, siwalimuunga mkono Mh. Rais? Tunataka kuwasikia wakimwambia Mh. Rais aache makato yaendelee. Aibu sana kwako Mwigulu huna huruma na watanzania.

Ukiwa unapigiwa zumari na mpambe namba mbili juu ya hili Ummy. Yani yule waziri amekaa kipropaganda zaidi kuliko uhalisia. Ujenzi wa madarasa, barabara nk ndio vifanye kuwe na kodi ya kuwaumiza wananchi. Aibu yako Ummy.

Mpaka sasa Ummy na Mwigulu kama wanajielewa kisiasa wanapaswa Kujiuzulu. Mama amewapuuza na propaganda zao
 
Ndio shida ya kuwa bungeni wa chama kimoja,ukionekana unapinga wanakuona msaliti,Wako wapi wenye misimamo kama Ayubu Kimbau,Chrisanti Mzandakaya,Njelu Kasaka,nk,hawa walikuwa majembe bila woga wala hofu walisimama kwenye misimamo isiyyumba,Katiba mpya,katiba mpya,ukikosa chama kuwa mgombea huru.Itapendeza kwa katiba mpya.
 
kama baba/mama mwendawazim usitegemeh watoto wakaw salama
Uongo wako huu wa kishamba ni mashetani pekee ndio wanaoweza kuuamini, sawa!??? Kumbe wewe hujawahi kuona mwanamke mwendawazimu akamzaa Injinia ama daktari!? Au ulikulia Planet Mars!? Bi Mkubwa ni nongwa na nusu, hilo halina upinzani. Lakini hiyo haina maana kwamba watu wote ni madumu matupu, sawa!? 🙂 🙂 🙂
 
Wanasiasa wa Tanzania msamiati wa kujiuzuru haupo kwenye kamusi zao kwa sababu hawana dira, malengo wala itikadi mahususi wao kwao siasa ni eneo la kutimiza maslahi yao
 
Sihitaji kuandika maneno mengi sana juu ya hili.

Suala la kilichoitwa makato ya mshikamano,Mwigulu kwa misimamo aliyoonyesha ninamshangaa kwa kauli aliyoitoa jana kwamba amepokea maelekezo kutoka kwa Mh. Rais. Mwigulu umewaangusha wapiga kura wako, siwalimuunga mkono Mh. Rais? Tunataka kuwasikia wakimwambia Mh. Rais aache makato yaendelee. Aibu sana kwako Mwigulu huna huruma na watanzania.

Ukiwa unapigiwa zumari na mpambe namba mbili juu ya hili Ummy. Yani yule waziri amekaa kipropaganda zaidi kuliko uhalisia. Ujenzi wa madarasa, barabara nk ndio vifanye kuwe na kodi ya kuwaumiza wananchi. Aibu yako Ummy.

Mpaka sasa Ummy na Mwigulu kama wanajielewa kisiasa wanapaswa Kujiuzulu. Mama amewapuuza na propaganda zao
Hakuna UTAWALA WA UWAJIBIKAJI TANZANIA ukivurunda unahamishiwa Wizara nyingine

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Viongozi hawana mafunzo ya Utumishi Wa Umma, Viongozi wamekaririshwa kuvunja Katiba & Sheria, Viongozi wanateuliwa bila vigezo.

Saa ngapi watajua umuhimu wa kujiuzulu ili kulinda maslahi mapana kwa taifa.

Wao wanachojua mtu ukivaa tai shingoni lenye rangi za bendera ya taifa ndio uzalendo (Mwigulu Nchemba), hata kama wewe ni jambazi basi mzalendo. Na ukihoji ubadhirifu wa hela za wananchi na kuikosoa serikali sio uzalendo (Prof Assad, Tundu Lissu na Fatma Karume).
 
Uongo wako huu wa kishamba ni mashetani pekee ndio wanaoweza kuuamini, sawa!??? Kumbe wewe hujawahi kuona mwanamke mwendawazimu akamzaa Injinia ama daktari!? Au ulikulia Planet Mars!? Bi Mkubwa ni nongwa na nusu, hilo halina upinzani. Lakini hiyo haina maana kwamba watu wote ni madumu matupu, sawa!? 🙂 🙂 🙂
engenia umebisha
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
 
Mwigulu Amelewa MADARAKA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli alimuona akili ziko kwenye makalio akamuweka benchi zirudi kichwani, sasa zimerudi kwenye makalio tena.
Mama anapaswa kum-trash.
 
Mwigulu ni mmoja ya watu wakarimu sana na mwenye kusaidia wenye shida nimewahi kukutana nao. Putting politics aside!
 
Back
Top Bottom