Mwigulu, it's enough. You MUST resign!
Kwahiyo huko kwenye baraza ndio walimtuma awaambie watanzania wasiotaka kulipa hiyo kodi wahamie Burundi?
Kwamba kauli ndiyo tusi kubwa sana kwa watanzania kuliko haya hapa:-.
...hata mkipiga kura upande mwingine CCM itashinda....Samia suluhu
-. mkipata mafuriko mwafwa... Jiwe
...mm sikuleta tetemeko....jiwe
...bora mle nyasi lkn serikali itanunua ndege ....mramba
.n.k
 
Itakuwa wamemuonea tu. Bajeti na tozo hiz vimependekezwa na wataalamu wa wizara, kisha wakapelekewa wadau then makatibu wakuu wote wakajadili.

Halafu yakapelekwa kwenye baraza la Mawaziri chini ya uenyekiti wa SSH, likabariki yaende bungeni. Nako huko wakaridhia yapitishwe.

Kosa la Mwigulu liko wapi??
Liko Burundi
 
Hana adabu wala hekma mbele ya wananchi. Kiongozi unapaswa kuwa mnyenyekevu au kwa sababu yeye uwezo anao kifedha?
 
Itakuwa wamemuonea tu. Bajeti na tozo hiz vimependekezwa na wataalamu wa wizara, kisha wakapelekewa wadau then makatibu wakuu wote wakajadili.

Halafu yakapelekwa kwenye baraza la Mawaziri chini ya uenyekiti wa SSH, likabariki yaende bungeni. Nako huko wakaridhia yapitishwe.

Kosa la Mwigulu liko wapi??
Nadhani kosa la mwigulu na Ile ropoka yake na arrogance behavior hasa kwenye kipindi Cha itv kuwa eti tuamie Burundi ndio kimechefua waja kiujumla, pia Mimi nalaumu bunge la ccm wanaipeleka nchi shimoni
 
Utakuwa uonevu mmkubwa mno kwa kweli. Kitu kama hiki hakiwezi kuwepo bila baraka za Rais. Kufukuza waziri ni uonevu.....labda amfukuze kwa kutuambia tuhamie burundi lakini kama ni tozo hapana
Kwahyo ulitaka tozo ziwepo ili tuumie?

Mimi nadhani bunge livunjwe ni hasara kwa taifa na ikiwezekana karibu mkuu wizara ya fedha apumzike ni useless Kwa taifa na mhujumu uchumi
 
akihamishwa wizara ndio itakuwaje? Acheni wivu
Akihama wizara hakuna madhara kama sisi kuhamia Burundi. Ila Mwigulu ni HAFAI. Zama za Samia sio zama za upuuzi wa aina ya huu wa mwigulu. Hizi ni zama za kutoa uongozi bora na kufanya siasa safi.

Ningekua mwigulu usiku huu ningejirekodi ki video clip cha kuomba radhi na kukisambaza makundi kedekede kusafisha upepo
 
Kwahyo ulitaka tozo ziwepo ili tuumie?
Mimi nadhani bunge livunjwe ni hasara kwa taifa na ikiwezekana karibu mkuu wizara ya fedha apumzike ni useless Kwa taifa na mhujumu uchumi
Sihitaji tozo lakini kama mama amebariki unadhani waziri angeachaje kudai tozo
 
Akihama wizara hakuna madhara kama sisi kuhamia Burundi. Ila Mwigulu ni HAFAI. Zama za Samia sio zama za upuuzi wa aina ya huu wa mwigulu. Hizi ni zama za kutoa uongozi bora na kufanya siasa safi.

Ningekua mwigulu usiku huu ningejirekodi ki video clip cha kuomba radhi na kukisambaza makundi kedekede kusafisha upepo
Samia ndio alimteua. Na Wako pamoja.
 
Sihitaji tozo lakini kama mama amebariki unadhani waziri angeachaje kudai tozo
Hata kama amebariki sio kupandisha kutuma kiasi hicho mbona mafuta yameongezeka mia na hatulalamiki hii tozo was too much aisee muamala mdogo kutuma tozo ya chini 3000 Bado sijui solidarity fund 2550 kah huo si wizi wa mchana wakati hapo bado VAT tunakatwa kabisa. Waache kucheza na uchumi hawa watu
 
Nadhani kosa la mwigulu na Ile ropoka yake na arrogance behavior hasa kwenye kipindi Cha itv kuwa eti tuamie Burundi ndio kimechefua waja kiujumla, pia Mimi nalaumu bunge la ccm wanaipeleka nchi shimoni
Lini madelu alishawahi kuwa na akili? Tangu uchaguzi wa Igunga akamchoma mtu petrol akamlipa ndiyo akamtumia mkumdhalilisha kisa CCM ishinde..

Madelu ni mwizi, tapeli la kisiasa...ule ni ukoma
 
Lini madelu alishawahi kuwa na akili? Tangu uchaguzi wa Igunga akamchoma mtu petrol akamlipa ndiyo akamtumia mkumdhalilisha kisa CCM ishinde..

Madelu ni mwizi, tapeli la kisiasa...ule ni ukoma
Mwigulu ni version ya jiwe had tabia na alitaka kuwa Rais wa nchi, eeh Mungu isaidie Tanzania. Kwa mahujiano na Farhia kumbe Mwigulu ni mweupe kiasi hicho hata kujieleza tu ni tabu ana jeuri na kiburi aisee, ajirekebishe bana
 
Waziri wa fedha anaongea Wananchi wanamsikiliza anafyatuka kama mpira wa komba mavi la manispaa
 
Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa

Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)

Mnataka tuishije sasaa?

Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?

Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?

Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?

Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?

Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?

Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.

Na bora waseme watafanya maendeleo.

Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.

Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.

MWIGULU, HE MUST RESIGN
Salute.....mingi

Mama Present Kaa kijanja fukuza hao chawa
 
Back
Top Bottom