They never care about this
 
Mtu aliyekuwa anahudumia watu 50 sahizi hata kumi hawafiki! Wanaenda kuua uchumi bila kujali kuwa huwezi panua kodi bila kupanua wigo wa kipato
 
Mtu aliyekuwa anahudumia watu 50 sahizi hata kumi hawafiki! Wanaenda kuua uchumi bila kujali kuwa huwezi panua kodi bila kupanua wigo wa kipato
Hata watano ni wengi Watanzania wamesusa hii huduma aisee na mzunguko utakuwa mdogo na serikali itakosa hata hicho kidogo
 
Hata watano ni wengi Watanzania wamesusa hii huduma aisee na mzunguko utakuwa mdogo na serikali itakosa hata hicho kidogo
Wamekosa ubunifu wao wanaona kulimbikiza tozo kwenye huduma muhimu ndio watapata hela!
 
Hafu hyo hela wameweka tozo kubwa jamani, Mimi ndo nimeshaacha kabisa kutuma
Hilo mie ndo lalamiko langu yani, kama una target ya buku weka sh.100 kwenye vyanzo kumi vya mapato mbona hela itaingia tu! Ila sio unaweka elfu moja sehem ambayo service charge na kodi ni 1000 tayari! Kwahio unaweka na tozo ya 1000 inakuwa buku 2
 
Yani wangeongeza amount flani hata watu wasingeshtuka, mbona mafuta na luku hazilalamikiwi Sana maana ongezeko kubwa, na mfano kuamisha hela kutoa Airtel kwenda bank wanakata karibia 10000 huo si wizi mtupu aisee.
Na mwezi ujao Kuna Kodi nyingine ya line you can imagine watu tulipwapa dhamana wanafikiria kwa kutumia masaburi
 
Mie nilishasema bwana Lameki Dito nafasi haimtoshi ile
 
kila mtu hukumbukwa inategemea anakumbukwaje inaweza kuwa postively au negatively.
Na tuendako tutamkumbuka tu aisee maana dah this is too much. Shida viongoz hujiamulia bila kushirikisha wananchi ili ka ni kula Ile pande zote na sio pande ya Raia tu
 
Tozo la miamala ni dhuruma kwa wananchi. Serikali imegeuka omba omba jeuri, anaekutaka uweke kiasi cha pesa kwenye bakuri la fedha. Unapotuma pesa hiyo pesa haijafanya biashara. Aliefanya biashara ni kampuni ya simu ambayo bila aibu inakutoza ulietuma na anaepokea pesa hiyo hiyo. Kodi ni kwa pato la biashara. Mawakala wanalipwa kamisheni ndogo sana, hela nyingi huchukuliwa na makampuni. Serikali haitaka kuyadai kodi zaidi kwa vile vigogo wana hisa na umiliki.
 
Hakuna bunge, kuna wabaka demokrasia wa CCM mjengoni.
 
Usisahau, rais ali sign mswaada wa budget ili uwe sheria. Nashuku kama siku hiyo alikuwa amevaa miwani.
 
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…