Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Pro-Magu mniache kidogo..He was bad in many aspect..Utajua hujui tu muda utaongea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pro-Magu mniache kidogo..He was bad in many aspect..Utajua hujui tu muda utaongea.
Hapo ndipo upeo wako unapoishia? Nani BAVICHA?Tulia msitupigie kelele nyie mibavicha! Lipeni kodi
Katafute hela ulipe kodi wewe bavicha!Hapo ndipo upeo wako unapoishia? Nani BAVICHA?
Sasa ndio kama hivi mnapumua?Pro-Magu mniache kidogo..He was bad in many aspect..
We are just stating the obvious.Pro-Magu mniache kidogo..He was bad in many aspect..
Msaidie wewe mwenye elimu ya juu jinsi ya kupata pesa za maji vijijini,hospital za kutosha,barabara vijijini na kugharamia elimu maana kila siku mnazaa kama panya.Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?
Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?
Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?
Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?
Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?
Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.
Na bora waseme watafanya maendeleo.
Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.
Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.
MWIGULU, HE MUST RESIGN
Hapa hapana chadema wala ccm hii kitu inaumiza kwa wanyonge wanaotumia hii miamala anotoka tu mbunge anasema kuwe na kodi ya uzalendo katika simu wakati yeye mshahara hauna kodi kwanini wasingeanza wao wabunge kodi ya uzalendo katika posho na mishahara yao kuliko kuwaumiza wanyonge, wengi wetu sisi wa tz ujinga wetu tunaanza kutizama vyama kuliko maendeleo yetu binafsi na ya nchi .Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?
Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?
Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?
Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?
Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?
Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.
Na bora waseme watafanya maendeleo.
Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.
Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.
MWIGULU, HE MUST RESIGN
Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?
Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?
Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?
Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?
Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?
Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.
Na bora waseme watafanya maendeleo.
Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.
Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.
MWIGULU, HE MUST RESIGN umelala yoooo!
chadema ndio wana lengo la kuisumbua serikali yetu chini ya Rais wetu mpendwa.Hivi kila anayehoji vitendo vya serikali ni chadema tu? Haya mawazo ya ki chuma ulete ni sawa na ushirikina na kuendelea ni shida sana.
Mwenzetu una ccm- pesa nini ambayo makato hayajaongezwa?Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?
Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?
Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?
Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?
Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?
Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.
Na bora waseme watafanya maendeleo.
Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.
Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.
MWIGULU, HE MUST RESIGN
ebu niambie umekatwaje? wamekupiga ngapi?Mwenzetu una ccm- pesa nini ambayo makato hayajaongezwa?
Wapumbavu sana hao,wanataka nani awalipie kodi? Mwisho wa mwaka muje muiulize Serikali kama pesa ilileta tija au hapana ila mimi huku niliko nimeanza kuona matangazo ya kazi za ujenzi ya kuzidi yaani.kwa hiyo unapenda vya buree eeehh!!!
unataka usadiwe na mataifa ya ulaya eeeh!!!
kumbuka pia misaada tunayo ipata kutoka nchi za ulaya ni KODI ZA WANANCHI WA MAREKANI, UGERUMANI, DENMARK, NEWZELAND, FRANCE, CHINA, UINGEREZA N.K, wananchi wazalendo wa nchi hizo wanatozwa kodi ambazo zingine ndio tunapewa ss misaada na wakati mwengine tunakopeshwa.
acheni kuwa walemavu wa akili lipeni kodi ili itusaidie maendeleo yetu.
Taifa imara itajengwa na sisi watanzania wenyewe kwa kulipa kodi sio kutegemea misaada au mikopo.
MTU yoyote anayeikosoa na kuishauri serikali unamuona ni CHADEMA...AISEE CHADEMA IMEWAKAA KIASI HIKI?KWELI CHADEMA NI CHAMA PENDWA,KAMA MAJI TU USIPOYANYWA UTAYAOGA..POLENIChadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.