Tunatawaliwa na watu who were not born to lead
 
WANANCHI WA MAREKANI NA NCHI ZA ULAYA ZINAWASIKIA WATANZANIA kuwa hawataki kulipa KODI ETI WANATAKA WASAIDIWE!!!!
AISEE!
NGOJA WANACHI WENZETU WATUSIKIE! SIJUI WATATUONAJE, KWELI TUMEKOMAA AU TULIDEKEZWA MPAKA UKUBWANI?!
hii ndio tabu ya kumnyonyesha mtoto bila kumuachisha mapema!!
sasa ona tunashindwa kujitegemea ss wenyewe tunataka kitonga!
 
Najua mtanikumbuka sio kwa mabaya bali kwa mazuri kwa sababu nimeji sacrifaiz kwa ajili ya Watanzania ~ Alisikika shujaa mmoja
We kwenda huko ku.ma ww kuna mtu alikuwa wa hovyo kama huyo shujaa wako aliyekuwa anakopa mapesa anadanganya fedha za ndani na ndiye chanzo cha haya maujinga ujinga ya sasa kaacha deni kubwa sn mpk kukopesheka ni shida

Tena bora hata huyu tunalipa wote lakin yule shujaa alikuwa anaibia na kutapeli watu pesa zao hakuna cha maana amefanya zaid ya matumiz makubwa kwny ma miundombinu kuliko uwezo wa budget ya taifa aende kabisa asirudi asilani. [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji135][emoji135][emoji135]
 
Na tuendako tutamkumbuka tu aisee maana dah this is too much. Shida viongoz hujiamulia bila kushirikisha wananchi ili ka ni kula Ile pande zote na sio pande ya Raia tu
Yule alikuwa mwizi tu hakuna alichofanya ndiye kasababisha haya yote haya
 
Hii hali ni hatari sana kwa ukuaji wa uchumi wa nchi yetu,serikali bora ingetafuta alternative nyingine ya kukuza mapato hata kwa kubana matumizi yasiyo ya msingi.
 
Kwa Sasa hyo maana ya bunge kuwa chombo Cha uwakilishi kwa mwanainchi haipo,me naona Ni vikao vya kujadili bajeti, Sera,sheria na kugawanya posho...sidhani kama wabunge wa bunge la Leo wakayapata machungu tunayoyapata sisi wananchi wa kawaida

Sidhani Kama kwa mbunge timamu akaikubali na kuzipitisha hzo tozo,wa kudai haki yet Ni sisi wenyewe sidhani Kama wabunge watakuwa msaada kwetu

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha....wanajua waTZ ni waongeaje lakini hakuna matendo. Kelele nyingi lakini bado wataendelea kununua mafuta na kutumia mobile money🤣
 
Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa

Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku...
wee unazani huyo mwigulu asipokusanya kodi nyingi maisha ya gharama anayoishi atayapata wapi?, atakula nini?
 
Najua mtanikumbuka sio kwa mabaya bali kwa mazuri kwa sababu nimeji sacrifaiz kwa ajili ya Watanzania ~ Alisikika shujaa mmoja
Mwendakuzimu aliua, Suluhu anazika...yupi bora? CCM kwa utaahira, hawakamatiki!
 
Alipewa wazo la tozo ya uzalendo wa maskini kwa Simba akalimeza mzima mzima lilivyo bila uchambuzi.
Bunge likaridhia maana hili sii bunge la wananchi ni genge lililotwaliwa kinguvu na mwendazake halijawahi kupigiwa kura na wananchi.
Tanzania tuna karata moja ya kutukomboa kutoka katika huu mkwamo wa watawala.
"KATIBA MPYA YA WANANCHI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…