Mwigulu, it's enough. You MUST resign!
Matajiri ni RAIA na wanalipa KODI pia......

Matajiri wameajiri watanzania wengi ambao kuishi kwao ,kulisha familia na kulea watoto hutegemea hao matajiri......

Wewe hutegemewi na watu wasiozidi 20 halafu ujifananishe na hao matajiri waajiri wa Watanzania?!!!

Tuache pang'ang'a tulipe KODI....

Mh.SSH ni rais wa maskini na matajiri pia......

#KaziIendelee
 
Hao wanyonge ndiyo inatakiwa wakamiliwe Kodi sana,Tena wameongeza kidogo ilitakiwa watanye ukitumiwa Laki moja ukaywe elfu Hamisi ili akil ziwaasogee maana ndiyo huwa maahabiki kwenye uchaguzi.

2765250_tapatalk_1565762914493.jpeg


2772486_FB_IMG_1575390800494.jpg


2772022_1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg
 
Mfumo wetu wa kodi unawakandamiza wafanyakazi na sasa watu wa kipato cha chini wanaingia kwenye maumivu.

Ni rahisi mfanyabiashara, tajiri kulipa kodi kidogo au kukwepa lakini sio mfanyakazi, wao inakatwa moja kwa moja na mwajiri. Hali kadhalika kwenye miamala napo inapigwa juu kwa juu.
 
Tuliofikishwa na mwendazake jiwe
Hii ndio maana ya uchumi wa kati.

Jamani kama maisha ya uchumi wa kati hujawezi hamia Burundi ambao bado wako uchumi wa chini[emoji23].

Nashauri waongeze makato zaidi.
 
Kazi Iendelee.....! Embu ndugu yangu Nenda Streiti ...Tajiri Gani Kaachwa halafu MNYONGE ndo anasakamwa atoe Buku..? Ujue Mama mnamchanganya kwa Mafumbo mafumbo yenu.... Taja tu ili ashughulikiwe...!
 
Aaaahh wee nae mi nikajua kuna mambo mazuri nikafungua haraka haraka
 
Back
Top Bottom