Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekwambia Mwigulu anapanga bajeti peke yake alikudanganya! Kila jambo linalotendeka lina baraka za Mama,Mwingulu ni masalio ya mwendazake ilibidi aondolewa mapema na Mama, pia ana ambition ya kua Raisi mwingulu ni sumu kwa Mama.
Aliyoyasema Mtaka Wakamwambia Atubu Haraka
Hawana Cha Kupoteza Hata Maisha Yakiwa Juu
View attachment 1855659View attachment 1855660
Mkuu huyu mwigulu anaharibu uchumi badala ya kuupandisha.Mwigulu hana anachoharibu,kwasababu hili jambo lilipitishwa na bunge la bajeti kipindi cha bajeti ya serikali,serikali ambayo iko chini ya huyo huyo unayepeleka malalamiko kwake.ata hivyo alishawaambia anataka kukuza uchumi,ndo hivyo wameamua kukuza uchumi kwa kumkamua mwananchi wa chini uku wao wakiendelea kula maisha.
Inajulikana wazi kuwa mabasi mapya ya ESTER yanayopiga route ya Arusha-Moshi-Dsm ni ya MWIGULU NCHEMBABaada ya huo upigaji wa juzi hapa, kuna gari yake imeingia kimya kimya 0KM, 400M asifikiri hatufahamu!
Ni mjinga anahanyahanya tuKuna jamaa moja aliwahi kuniambia Tanzania ni nchi ya ajabu sana kuna mambo ambayo dunia nzima hakuna ila Tanzania yapo
Nataka nione huyu muheshiwa waziri akefanya upembivu yakinifu kupitia kitabu gani cha uchumi hadi akaja na wazo la kuweka tozo ya tshs 9400 na ada ya mtandao tshs 8000 jumla inakua tshs 17409 kwa kwananchi wake anae taka kutoa milioni moja yake iliyopo katika pesa mtandao
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna imani na mama, au mnasemaje ndugu zangu?Yajayo yanasikitisha Sana, naona future ya Tanzania ikizidi kuwa Giza zaidi. Hakika tutalimia meno huko tuendako
Mwigulu ni sehemu ya baraza la mawaziri ni sehemu ya vikao vya maamuzi.Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)
Mnataka tuishije sasaa?
Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?
Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?
Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?
Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?
Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?
Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.
Na bora waseme watafanya maendeleo.
Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.
Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.
MWIGULU, HE MUST RESIGN
Kwa hiyo wewe haikuhusu,inahusu chadema sivyo???Chadema mmeacha madai ya katiba mpya sasa mmehamia kwenye tozo za kodi ya kizalendo, kamwe hamto fanikiwa mnacho kitaka.
Kwa hili mama kazingua bana pakubwa sanaTuna imani na mama, au mnasemaje ndugu zangu?