Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

Hao ndio mafisadi wa CCM. Wako kwenye uongozi kwa ajili ya kujinufaisha. Kwenye bajeti hii wameamua kukarabati viwanja vyao vya mpira wanavyovimiliki ndio maana wakafuta kodi ya nyasi bandia.

Rais HAWEZI MFANYA CHOCHOTE MWIGULU.
 
Na hapa ndipo unapokuja ku-judge umakini wa SSH kama kweli ana tofauti yoyote na waliomtangulia hata kama siku chache za mwanzo alitaka kujionesha yupo tofauti na Magu! Hivi mtu wa hovyo kama Mwigulu unampa vipi ofisi nyeti kama MoF?

Uzuri wa CCM mambo kama hayo yanakubalika!! Hivi sakata la Mhando wa TANESCO kutoa tenda kwa mke wake bila kujali suala la mgongano wa maslahi liliishia wapi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…