Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Mwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kuwaunga mkono katika utekelzaji wa ilani ya CCM 2020.
Akaendelea kwa kusema kuwa, CCM ni baba na mama wa Demokrasia na itaendelea kuvipa fursa sawa vyama vingine na vyenyewe viweze kufanya siasa kama ambavyo Rais Samia alivyoweza kulionesha hilo kwa vitendo, kila mwenye chama chake amepewa fursa ya kufanya siasa bila upendeleo wala uoga.
Kwako Mdau.